Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
Kwa nn JK anaonekana yeye ni wakulipa fadhila na mtu aliyebebwaa tuu kufikia hapo alipoo??Mkubwa hawezi mtupa huyu...ni mtaliki wa Kitwana Kondo.......KK ndio alimleta JK mjini toka Nachingwea na kumkabidhi kwa Mwinyi akapata u deputy minister 1989.....sasa ataachaje kulipa fadhila?....Leo ndio mtasikia mengi Dodoma...
Huyu mama anaweza kwenda, ebu niambie nani anatakiwa kubaki katika hali ya sasa
Ikiwa ungeunda serikali leo kutoka bunge la sasa, unadhani ungepata japo mawaziri wa kutosha wizara 10? Sijauliza kuhusu raisi na waziri mkuu wake, maana makamu wa raisi ukiacha matakwa ya kikatiba hata asipokuwepo hamna tofauti
Mkubwa hawezi mtupa huyu...ni mtaliki wa Kitwana Kondo.......KK ndio alimleta JK mjini toka Nachingwea na kumkabidhi kwa Mwinyi akapata u deputy minister 1989.....sasa ataachaje kulipa fadhila?....Leo ndio mtasikia mengi Dodoma...
Haswaa na tusisshangae kwanini tunashindwa kusonga mbele.Imagine mtu asiyejua lolote zaidi ya umbea tu anaongoza wizara yenye kubeba dhamana ya usalama na ustawi wa Taifa letu.Kama mbinu inayoendelea kutumika mpaka leo ni kujua nani anakunywa pombe gani ili tukianzisha vikao tumpashe basi lile jicho ambalo linaendelea kunisononesha ni afadhali kuling'oa na kulitupa motoni.Bora nikiwa chongo.It's only in Tanzania where a person like Sophia Simba can become a leader and a cabinet minister for that fact. Mama kakaa kama muimbaji wa taarabu na hata maneno yake saa nyingine uta fikiri ni nyimbo za akina Hadija Kopa. If it wasn't for her being a minister i wouldn't waste my time on her.
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
Yule wa Kigurunyembe? Kazi ipo, ingawa waluguru sio watu wa mipasho ki hivyoKwa wale wenyeji wa mji kasoro bahali, huyu domokaya ni MPWA WA FR.CANUTE!!
Huyo mama ni chombo/tool anatumiwa. Ni kama vile chewing gum inatumika pale inapokuwa tamu. Ikiisha utamu hutupwa. Huyo mama hana jipya tokea kuwa kimada wa Kitwana Kondo mpaka kuwadi kwa wake za watu. Huyu mama ana historia chafu mno kuelezea. Lakini ndio hivyo tena. 2010 sijui itakuwaje. Yeye na Muungwana they have a lot in common ndio maana ni mtu wake wa karibu sana.
wewe nawe vipi tena? one days fulani hapa uliiunua bango watu walipomwagia sumu da Sophy.....leo wamgeuka tena?......afu kujiuzulu ni msamiati kwa wezi wa tanzania.....Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
Inahusiana na uvurugaji wa demokrasia na utawala bora Tanzania.nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu.. Wizara ya Utawala Bora inahusiana na mambo gani hasa?