William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Wajinga ni wale wanaodhani wanajua Ids za kila member hapa JF
What kind of relevance are you asking for...ni wewe uliosema kuwa ...si Malecela tu hata Mwalimu nayeye wanawake alikuwa nao...kumbuka ulitaka kututajia mpaka majina ya wanaume aliozaa nao Mama Sophia...na ukajinata kuwa una facts za kutosha kuthibitisha...ithibitishie JF hapa, wanawake wa Mwalim Nyerere walikuwa nani na nani...najuwa facts unazo tu...vinginevyo utakuwa umezulia Mzee wa watu(RIP)...na kumvunjia heshima wakati amesharejea kwa Mungu wake...hawezi kuja hapa kujitetea...au hana watoto humu JF, kama Malecela na kilango, wa kumtetea...utakuwa hujamtendea haki hata kidogo,ili nisikuone mwongo na kuanza ku doubts kashfa zako kwa Mama Sophia...thibitisha hapa hao wanawake aliokuwa nao Mwalim...be honest and just kwa Baba wa taifa.
.Halafu mnasema huyu mama kichaa!Huyu mama siyo kichaa huyu isipokuwa ameamua kumwaga ugali baada ya hao wanaojiita wapiganaji kumwaga mboga ili wakose wote.
Mkuu Wazalendo shukran mkuu.Kama una mengi zaidi ya hiki kikao tumwagie mkuu na sisi tufaidike
.
Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina baya!
Hayo ni maneno yako ww,umeyaleta ww...sawa?]...[/B]Mwalimu alimuita Malecela muhuni, kwa tabia zetu za Kitanzania ikiwa na maana ana wanawake wengi, kitu ambacho na Mwalimu alikuwa nacho yaani wanawake wengi, unless una maana Mwalimu alikuwa na maana nyingine labda uiweke hapa....
FMEs!
Hayo uliyasema ww kila kauli haipiti bure hapa JF, bila ya mizani ya ukweli...thibitisha...tusikuone mwongo....ya maneno ya Malecela na Mwalimu aliyeyaleta ni wewe sasa suka au unyoe!
FMEs!
Hayo ni maneno yako ww,umeyaleta ww...sawa?
Tupe facts umemzulia Mwalimu kuwa ana wanawake wengi sana...
thibitisha kauli yako simple...kumbuka nilishakuonya awali kuwa ukianza kumtukana Mzee wa mwenzako hubakishi...umeona sasa...nakutahadharisha tena ukiendelea kama hivi utakuja watusi mpaka wazee wako...be careful!
Hayo uliyasema ww kila kauli haipiti bure hapa JF, bila ya mizani ya ukweli...thibitisha...tusikuone mwongo.
Hivi jamani kupokea mchango wa harusi ni ufisadi? nani kati yetu ameoa bila ya mchango? Tuacheni siasa za uabunuasi humu ndani!
Heeeeeeeeeeeeee!
Hujafa hujaumbika!...Kumbe huyu mama ana Mdomo hivi!..Kweli baraza la mawaziri bongo ni sawa na kundi la taaraabu!
Sasa maneno haya yako huku nje mitaani, na tuamue cha kufanya na hawa watu,... si wanatuongoza sisi?...
Si tumewapa madaraka kwa dhamana?..Tunawaogopa?
Bora ukatubu maana hiyo mitusi uliyoporomosha humu si mchezo....we kijana,masikio hayazidi kichwa Wazee wako tunakuonya ww unaendeleza ukaidi...tuseme ndo utaendelea kuwatusi mpaka wazee wako?- Naona ya Sophia yamekushinda, ngoja niwahi Church mkuu, later! ila next time wonye watoto wako au familia yako sio mimi, huwezi kunionya wewe huna huo ubavu!
FMEs!
- Irrelevant to the topic at hand na ndio ujinga wenyewe!, tizama topic ya Salim mwanzo mpaka ilipofikia mtu mmoja tu something is wrong somewhere Bwa! ha! ha! I mean never seen this childshlike before!
FMEs!
Kumbe Mirembe wende wengi ndani ya CCM, mpaka Guninita?
Sio kuwapigia magoti.
Ukweli ni kwamba, wana namba za kadi na majina yote ya wanachama wao mkoa wa Dar na jina la mengi halipo.
Kwa sababu yeye ni fisadi,inawezekana anakadi feki
- Hakuna anaye-divert anything hapa na hutishi mtu na hii mi-ID yako mkuu, Sophia ameongea bila usahidi lakini yeye ushahidi upo wazi kwa kuzaa watoto wanne na viongozi wanne ambao ni waume wa marafiki zake, watoto wapo this is a fact, sasa na wewe tuletee facts za wizi wa Malecela na mkewe hapa tuwahukumu, otherwise acha longo longo peleka hasira zako za maisha huko.
- Mimi ndiye niliyesema kwamba Sophia hafai kuwa waziri wa Takukuru, kwa sababu yeye maadili ya binafsi hana sasa itakua sheria na maadili ya taifa, sasa nielimishe ninacho-divert hapo ni nini? Mimi sitishiki na hii mi-ID yako, muhimu ni hoja na facts ambazo huna! nilitaka kupumzika lakini naona hukubali sasa tuendelee kucheza hii ngoma!
FMEs!
Huyu mama sijui alikula nini siku hiyo kabla ya kuongea!