Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!


Hapana mkuu wangu,huyu ni sehemu kubwa ya tatizo! Hiyo wizara haimfai hata kidogo! She need to go,period.
 
Hapana mkuu wangu,huyu ni sehemu kubwa ya tatizo! Hiyo wizara haimfai hata kidogo! She need to go,period.

I agree she should go. Nilicho kuwa namaanisha mimi ni kwamba tu yeye sidhani kama ni fisadi kama tuwa juavyo wale "mapapa" na "nyagumu" lakini siyo kuwa namtetea kabisa. Hata mimi nasupport kwamba aondoke.
 
I agree she should go. Nilicho kuwa namaanisha mimi ni kwamba tu yeye sidhani kama ni fisadi kama tuwa juavyo wale "mapapa" na "nyagumu" lakini siyo kuwa namtetea kabisa. Hata mimi nasupport kwamba aondoke.

Tuko pamoja Mkuu!
 
Huyu mama kazi imemshinda, bora akae pembeni awapishe wanaoweza kuongoza hiyo wizara.
 

Kama ni haya tu aliyoyazungumza, sioni sababu ya yeye kujiuzulu. Tusiingie kwenye mtego wa kukataa kuona mapungufu ya hao tunaowapenda kwa sababu tu aliyeyaleta yuko kambi nyingine.

Amandla.......
 
Ina maana Sofia kasema "na aliye msafi awe wa kwanza kutupa mawe kwenye hii nyumba yetu ya vioo"?

Sofia ni mdomo tu wa kusemea kama kina Hosea! japo mdomo huu unaweka na taarabu juu! Midomo hii haina sifa ya uongozi kwani hakuna uhusiano kati ya vichwa vyao na midomo yao.
 
Aondoke kwa sababu tu kasema ukweli kuhusu Kilango, Mwakyembe, Selelii et al?
 



Mwana..... Tumegee tujadili maana wachemkaji wengi si ajiuzulu Ewe mungu saidia kesho morning tusikie haya Mimi........nimemwandikia barua Waziri mkuu na Rais nikimuomba kujiuzulu kwa ridhaa yangu mwenyewe bila kushinikizwa na mtu ewe mungu nisaidie maisha ya walalahoi wenzangu kulitetea Taifa hili linalomalizwa na Mafisadi Amen..... hi ndo kauli tutakayoisikia Utakuwa shujaa kwahili ukiundiwa Tume na wewe Fisadi mkubwa weeee!!
 
i can see a better Tanzania from far,20 Years to come,when the recent Fisadi generation will be out and only remaining is few products of them
 
ur probably right.. maana sisi tulikuwa tunazungumzia "uongozi bora" wao wanasema "utawala bora"!

Labda tuwape ka kozi kafupi ka "Managing and Leading" ndio wataweza kupambanua kati ya uongozi bora na utawala bora.
 
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.





Mzee Mwanakijiji














The Following 4 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post: Field Marshall ES (Today), K4jolly (Today), Meshili (Today), Ng'azagala (Today)





Jamani hizi thanks zilikuwa za nini hata kabla hamjajua Mwanavillage ana zungumzia nini???? Ama kweli tunajua kulukia treni kwa mbele bila hata kujua liaelekea wapi!!!!

Mungu ibariki Tanzania
 
all this sums up to poor leadership in that party. Nawashangaa nyie apologists wa CCM. Is that all ur party can deliver to solve the so called crisis!!!!!
 
Ni jambo moja kuwatetea kama ilivyotarajiwa; ni jingine kabisa kuwamwagia mabusu na kuwakumbatia huku akiwatolea uvivu na kuwapaka wapiganaji kwa majina. Ameapa kusafishwa kwaja.

Who pays the piper calls the tune. Huyu mama inasemekana alipata uenyekiti wa UWT kwa kutumia mapesa mengi. Kwa maana nyingine alifadhiliwa na watu wenye pesa. Sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Hivi kwa nini tunawasakama machangu doa mitaani?
 

Thanks yangu nimeitoa kwa MJJ ameleta habari ambayo magazeti yote leo hawakuiandika na ndo Pasco akamalizia kila kitu ikaonekana siyo udaku. source ya MJJ kupata habari za kina na uhakika iko juu zaidi si vinginevyo.
 
Aondoke kwa sababu tu kasema ukweli kuhusu Kilango, Mwakyembe, Selelii et al?

Tunamuonea bure Sophia Simba; hayo maneno aliyoyasema huko kwenye kamati ya Mwinyi sio maneno yake bali ametumwa na Jakaya! She is just a mouthpiece!!Na ndio maana hata msemeje hawezi kumuondoa kwenye Cabinet. Hiyo ndio style ya utawala wa kikwele.
 
Ingelikuwa vyema ungetujuza ufisadi na agenda walizonazo Wapiganaji. Otherwise naona kama ni mtetezi wa Lowassa na kundi lake.
 
Tuwaache CCM wapasuke jamani. Itakuwa ahueni. Katika hali ya sasa CCM is a threat to national security!
 
I feel you brother. Only in Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…