Samahni lakini nilisikia elimu ya huyu mama ni certificate yani hana hata ka diploma duh kama ni kweli haya!!
Huyu mama ana masters yake tena halali wala sio feki. Hayo mambo ya certificate ni uzushi tu.
Kumbuka Mama Sophy ni binadamu hivyo ana mapungufu yake, lakini sio kigezo cha watu kuongopa elimu yake.Na vile vile unaweza kupata elimu lakini usielimike.hiyo masters yake halali imemsaidia nini? mbona anafikiria, kuongea na kutenda kama mmama ambaye hata form 4 hajafika?
Watanzania muda si mrefu natoka kuongea na mzee wetu nikajaribu kumwelekeza watu walivyochukulia kwa niaba ya familia ameomba tusishindane na vichaa na yawezekana kichaa hayuko pekee SOPHIA SIMBA WAO VICHAA WENGI NYUMA YAKE NA HATA HUMU JF...SO AMEOMBA TUWE WAVUMILIVU KATIKA WAKATI HUU WA MPITO MAFISADI WAKIJITAHIDI KUJISAFICHA
Watanzania muda si mrefu natoka kuongea na mzee wetu nikajaribu kumwelekeza watu walivyochukulia kwa niaba ya familia ameomba tusishindane na vichaa na yawezekana kichaa hayuko pekee SOPHIA SIMBA WAO VICHAA WENGI NYUMA YAKE NA HATA HUMU JF...SO AMEOMBA TUWE WAVUMILIVU KATIKA WAKATI HUU WA MPITO MAFISADI WAKIJITAHIDI KUJISAFICHA
simba hawezi kukurupuka tu na kutowa kauli kama zile ,kuna ukweli ndani yake kazee hiki kina kaujanja mwingi.
he is not stupid im surestupid!
You are are not so sure Muungwana hatowi matusi...kama hawezi kujibu hoja hukubali yaishe...siyo kutukuna ndo aonekaneje...so he is stupid.he is not stupid im sure
kama ni hoja watazijibu wenyewe ..kwanza kilango anaandaa mashambulizi..ala cha msingi anatakiwa atoe na maeleze kuwa huo mshiko walipewa kweli au?You are are not so sure Muungwana hatowi matusi...kama hawezi kujibu hoja hukubali yaishe...siyo kutukuna ndo aonekaneje...so he is stupid.
Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?
Hapa ndo kidonda kilipopata makali ya ndimu...asigeuze maneno,aende kwenye dai la msingi, na Mwkyembe naye aje aseme, sakata la Richmond na msimamo wake katika ununuzi wa mitambo ya Dowans,pana uhusiano gani na kampuni yake ya umeme wa upepo...asijidaijidai kutaka kuwacheza shere watanzania.Unaweza ukamwambia Mzee Melecela atoe majina ya watu waliomchangia ktk hiyo harusi yake, ili tujue ukweli.
kwa hiyo nani anelekea kushinda na kukonga nyoyo za wapuuzi (watanzania) katika haya makundi mawili?Hapa ndo kidonda kilipopata makali ya ndimu...asigeuze maneno,aende kwenye dai la msingi, na Mwkyembe naye aje aseme, sakata la Richmond na msimamo wake katika ununuzi wa mitambo ya Dowans,pana uhusiano gani na kampuni yake ya umeme wa upepo...asijidaijidai kutaka kuwacheza shere watanzania.
ILANI KWA WANA JF.
CCM haina mpiganaji wa ufisadi, nasisitiza tena wote ni mafisadi,wanaopiga makelele na kujiita ni vinara wa vita vya ufisadi wana ajenda zao mifukoni na maslahi yao binafis pembeni,wanawazubaisha watanzania tu,kujidai kuwa wao ni vinara wa ufisadi wakati sasa dhahiri ya mambo inakuja wanafichuana wenyewe kwa wenyewe, na humu JF nimeshaona dalili za kuwaonea huruma na kuwaamini eti kweli ni vinara wa kupambana na ufisadi...huu ni undumilakuwili wa kisiasa, haiwezekani 'wapambanaji wa ufisadi wawe na waamini na waumini wa chama hicho hicho kinacholea matajiri na mafisadi,kinachong'ang'ania sera ya kulindana lindana, kinachochochea mgawanyiko wa kijamii kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho, kinacholea system mbovu ya kuendesha nchi,kinacholazimisha kukaa madarakani japo wanachi hawakitaki(zanzibar).Ili niamini kuwa hao wanaojitapa na mapambano ya ufisadi ni wapiganani wa kweli na wazalendao na wapo tayari kuwa upande wananchi wanyonge na si kwa matumbo yao binafsi kama wanavyoonekana sasa basi watoke CCM na wajiunge au waanzishe vuguvugu lao huru kuendeleza mapambano...hivyo ndivyo alivyofanya Odinga alipoiondoa DP kutoka KANU...Bingu wa Mutharika alipoanzisha chama chake akiwa ikulu Malawi, kuepusha kuwa mnafiki...na matokeo tumeona.
kula tano dadaTuache Unafiki ni Bush tu alirudisha pesa za rambi rambi za prince wa saudi arabia baada ya september 11, nyie watanzania wenzangu nani kwenye historia aliwahi kurudisha michango ya arusi au kipaimara kwa sababu hajui mtoaji amezipata wapi aua anajua mtoaji kuwa ni mwizi??? Mbona hata makanisani na misikitini tunapokea pesa za wezi sembuse malecela kupokea pesa kwa ajili ya arusi. Hapo hakuna hoja, ilikuwa arusi na kamati ya arusi ndio inakusanya michango. nani alikuwa m/kiti wa kamati na wajumbe waulizeni wawape nani walitoa na break down
Hawa akina Simba siku zote watatutoa kwenye ukweli tujadili yasiyo na tija kwa watanzania, Arusi ya Malecela huwezi fananisha na deal la Richmond, Meremeta, Kagoda, IPTL, TRL, Deep Green, Mwananchi et al, Jamani nchi imeuzwa rudini kwenye mstari, anza kwanza kulipua ndege, then teketeza vifaru vya adui ndio uje kwenye hao askari wa miguu.
Nyie mnaanza kujadili namna ya kulipua mahema yao kwanza ha ha ha Khaaa!