Painstruth
Member
- May 5, 2008
- 77
- 24
Aliyemtaja Mwafrika na Masanilo ni huyu hapa
Wewe - painstruth ndiye umewataja mwafrika na masanilo. Je wanakupumulia bado au wamemaliza?
Kama sijakosea, hapa anaongelewa Mengi. Lakini kwa vile wewe unataka sana kumwongelea zitto, basi huwezi kumaliza siku bila kumtaja.
Painstruth
Join Date: Mon May 2008
Location: USA
Posts: 8
Thanks: 2
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Wewe una post nane tu, umekimbiza wengi?
Au ndiyo yale yale ya kuja na majina kibao? Uliowakimbiza mara mwisho ulikuwa unatumia jina gani?
Mhh shehe yahaya tayari umefanya utabiri na kujua uwezo wangu wa kufikiri na ukilaza wangu. Utabiri huu umepitia wapi - mogadishu au bahrain?
mnaona na nani?
Rule number 1; Usijibu kila post!
Nimejiunga mwaka mmoja kabla yako dogo, wewe unaangalia wingi wa post?
Kuna mtu kazuia kutumia majina mengi humu?? nani, imeandikwa wapi?
Huna heshima dogo, angalia mawazo yako yalivyojaa ushoga shoga!
Nitaendela kukupa rule 20 za JF kadiri utakavyokuwa unajibu, mpaka nikutuma rule number 20, utakuwa umeshakua na kubadilika, hii ndio kazi yangu kubwa!
unadhani ataweza kupimwa huyo, kwenye ile thread nyingine anajitapa kuwa kafukuza watu wengi sana hapa jf - wakati ana post nane tu. Kama kupimwa akili nadhani huyu hata haitaji kupimwa- apewe dozi moja kwa moja.
Yr too low man. Km kila kitu unakihusisha na dini. Katu hutaweza kutenganisha mchele na pumba. Ni aibu sn kwako na familia yako.
Malecela yuko sahihi ila amemsahau SOLOMO DAVID, naye ana matatizo ya akili huyu
Kajaa majungu, fitina , chuki, kila kitu too personal! ugomvi kila dakika, anachotaka yeye kila mtu akubaliane na yeye.
Solomon David tafuta hospital atakayoenda huyu mama na wewe uende
Nashangaa credibility yako ya kukubali alichosema malecela 100%
Kwani katika upumbavu wa Simba hakuna la ukweli?? mbaona hawakanushi
nataka nikukuze dogo ujue kuchambua mambo, sio kusema watu sema watu, kama watu wa vijiweni , JF was not meant for that.
Nimekuahidi kukukuza na kukushughulikia mpaka ukue, inabidi uulize dogo
Haya ebu tuone uwezo wako wa kuchangai maada , kujibu post na kuanalyse mambo kama great thinker
Unadhani ataweza kupimwa huyo, kwenye ile thread nyingine anajitapa kuwa kafukuza watu wengi sana hapa JF - wakati ana post nane tu. Kama kupimwa akili nadhani huyu hata haitaji kupimwa- apewe dozi moja kwa moja.
solomon acha kushindana na vichaa !!!tuwe na upeo wa mama kilango umu jf
Malecela,Kilango,Mengi na wenzao mbona hawajajibu madai ya mama Simba badala yake wanatoa matusi tu, na wajibu basi naona Mume anamsukumia Mke na Mke hivyohivyo, wajibu hoja si matusi...UKWELI UNAUMA ENHEE!!!
Nini hasa dhana ya Ada ya uanachama?. Ni kuendesha chama, sasa kama hajachangia shs12 za uanachama ila kachangia Shs 300 Million, yupi ni mwanachama bora?. Mtoa Shs 12 ili akipata uongozi aibe Billioni 12 au mtoa Mill 300 asiye na mpango wa kugombea uongozi ili awaibie watanzania.
Rule number 2, Mengi kasema usi urgue na fool na wewe utaingia kwenye huo mkumbo!, so we are on the same boat
, lengo ni kutaka kuona IQ yako ina apply vipi hii misemo ya kawaida, au unataka sifa kwa watu wasiokujua!
Mkuu,unataka ushahidi gani...madai yametolewa...waliodaiwa ndo waseme kuwa madai hayo ni uwongo...si wamefatwa kuulizwa...mbona hawajajibu...wanazungumzia habari za ugojwa wa akili zinahusu nini?
Wajibu madai vinginevyo nachukua madai ya mama simba kama ni ukweli ulishinda na kushindwa kufanywa uwongo na wadaiwa.
pigo kali naona mnatapatapa,mara mnatafakari...jibuni hoja...kama anawazimu mngenyamaza kimya vinginevyo kimewachoma.
- mfuate mama simba huko mirembe wakakucheki hii online syndrome mkuu maana mnafanana sana kwa maneno, sijui matendo? Bwa! Ha! Ha!
Respect.
fmes!
Mkuu,unataka ushahidi gani...madai yametolewa...waliodaiwa ndo waseme kuwa madai hayo ni uwongo...si wamefatwa kuulizwa...mbona hawajajibu...wanazungumzia habari za ugojwa wa akili zinahusu nini?
Wajibu madai vinginevyo nachukua madai ya mama simba kama ni ukweli ulishinda na kushindwa kufanywa uwongo na wadaiwa.