mzanganyika
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 257
- 6
Mengi aliumbuliwa na RA, lini hapo?
Huyu ni the same RA wa richmond, Kagoda, EPA, Dowans, etc?
Walichosema dailynews kilihitaji majibu gani? kama ambayo nasubiria toka kwako kuhusu pesa za madawati ya mtakuja?
Wanaume hao wanaokupumulia ni pamoja na Masanilo na Mwafrika au unataka wengine zaidi?
Hata mini nina kadi yangu ya CCM tangu 18 Aprili, 1977 na kadi yangu ni B124594 lakini sijailipia tangu mwaka 1977 na bado ni mwanachama wa CCM halali. Sina risiti za malipo ya ada kwa muda wa miaka 32 na badi ni mwanachama wa CCM.
Kwa mantiki ya Mengi kuwa na kadi ndiyo maana ya kuwa mwanachama. Ningependa ammalize Sophia Simba kwa kuzitoa risiti zake za malipo ya ada kwa muda hiyo miaka 32 au basi risiti za miaka mitano iliyopita angalau ili Sophia aumbuke zaidi amasivyo ataambiwa kadi yake aipeleke makumbusho ya taifa.
Nimesema taja jina la Mungu wako nikuletee picha ya mama yake, hukutimiza sharti la mimi nikuletee picha ya Mungu wako amevaa hijab!!
Yaani naisoma hii habari siku ya tatu leo na wala haina hayo maneno yaliyoombwa na takriban kila msomaji....Muheshimiwa kasemaje?? Nimeona mahala fulani kumesemwa watu wataanza kusoma magazetini Ijumaa, sasa kumbe hii ilikuwa ni promo ya magazeti tu?? Haya bwana, ngoja niende maskani nikasome hayo magazeti nieone kama kweli kuna mtu kathubutu kusema maneno ya closed door meetings...
Unauliza lini wakati kila mtanzania mfuatiliaji wa maswala ya ufisadi anajua kwamba familia ya Mengi imekula hela za wawekezaji wa NICOL na mwenyewe amekiri!!!!!
Ni huyo RA (King maker), who else angeweza kumuweka Mengi hadharani kama RA alivyofanya?
wewe hata kukiri kwamba alaikwepua fedha za watu bado hutaki kukubali wakati kuna video on yuotube anakiri fedha zilikwepuliwa on his watch!!!
How old is SS? i think i am in love with her... Nadhani kuna kitu ame-miss...
ASANTE WILLIAM
Umesikika William
LIMBANI WEWE!!
MSITUCHANGANYE HAPA.
Ona ulivyotafsiri sentensi, utajitapa kweli una moral wewe!
Mkuu unaaibika kimbia humu
sasa nani kamtaja mwafrika na masanilo tena! bado wamekukaa akilini, lazima ujikombe kwao huna ujanja wa kujisimamia mawazo yako
Painstruth said:Kuna watu mnaboa humu, Solomon David, kila post zako lazima uandike kuhusu Zito?
wewe, mwafrika, masanilo n.k msipoandika kuhusu Zitto mnawashwa? mbona mnajiweka low hivyo , mnahisi inferior? kwa Zitto.
mara Zito, mara Omarlyas, hatuna rekodi wala serikali ya Tanzania hairuhusu ndoa za mashoga! wamewakataa?
ndio nimesema, mnaboa,
jadilini Idea vijana kumsemasema huyu jamaa mnajiweka chini sana
duh
JF imeharibika siku hizi
sio mimi tu, kuna watu wanaboreka na post zenu za hatred
maada za zito zikiondoka humu huna la kuandika
hivi hujajigundua kila wakati wewe bifu tua
ona trend ya hii thread halafu ujiexamine!
Unalo
nimeshakimbiza wengi kwanza nikukimbize
Sasa Mengi nani yako??
Hata kama huyo mama ni kichaa lakini si anaweza akawa amesema ukweli? Muhimu hapa ni kuchambua hoja za huyo mama. Kumuita kichaa na kuendelea kukaa kimya bila kumchukulia hatua kutafanya wengine tuamini alichosema huyo mama ni kweli.
Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?
Malecela yuko sahihi ila amemsahau SOLOMO DAVID, naye ana matatizo ya akili huyu
Kajaa majungu, fitina , chuki, kila kitu too personal! ugomvi kila dakika, anachotaka yeye kila mtu akubaliane na yeye.
Solomon David tafuta hospital atakayoenda huyu mama na wewe uende
Nashangaa credibility yako ya kukubali alichosema malecela 100%
Kwani katika upumbavu wa Simba hakuna la ukweli?? mbaona hawakanushi
nataka nikukuze dogo ujue kuchambua mambo, sio kusema watu sema watu, kama watu wa vijiweni , JF was not meant for that.
Nimekuahidi kukukuza na kukushughulikia mpaka ukue, inabidi uulize dogo
Haya ebu tuone uwezo wako wa kuchangai maada , kujibu post na kuanalyse mambo kama great thinker
Hata kama huyo mama ni kichaa lakini si anaweza akawa amesema ukweli? Muhimu hapa ni kuchambua hoja za huyo mama. Kumuita kichaa na kuendelea kukaa kimya bila kumchukulia hatua kutafanya wengine tuamini alichosema huyo mama ni kweli.
Malecela toka clean, vipi ulitumia pesa za mafisadi kuendesha harusi yako?
MI NAONA BAADA YA SOLOMON NA SIMBA KUPIMWA NAOMBA WE UKAFWATIE PALE MIREMBE( PAINSTRUTH) NA NATUMAINI UGONJWA WAKO MIREMBE WATAUSHINDWA SIDHANI WATAPATA DAWA.....
AMA NDIO JINO LA DHAHABU
Ohoooo, ngoja nikichaji hiki kitarakilishi changu hapa kisije kikazimika mid-sentence. Leteni mahabari...
NB: Mkulu FMES...Umetoweka mno .....