i know what u need to hear, umbea tu umekujaa.. kwani vipi na wewe alikupitia?
Bandungu, cjaona mchangiaji hata m1 mwenye maelezo ya kutosheleza. Kidogo IGWE kajitahidi. Kuna m2 kasema ni madanguru, kuna sofia house hapo chang'ombe, cyo iliyo opposite na veta. Ipo kwenye magodown na viwanda, huko napo wanafanya danguro? Mbona mnakuwa kama c magreter thinker? Kama hujui jambo we potezea tu, c lazima kuchangia.
Ni ya mhindi flani hivi alimfanyaga mwanae kafara aliyekuwa anasoma shaban robert.The son was so handsome and it is said he was loved more by the dad!
acha kulalama mtoto wa kiume.
Unajua kuna hoja zingine zimekaa kimbeambea halafu hazina tija kwako wala kwa taifa,
mfano wewe ukishajua kuwa mmiliki ni Sofia Rupia then what?
Sawasawa na masista du wa uswazi kwetu utakuta ananiuliza nimtafutie kwenye mtandao kama Diamond na Wema wameachana, as if ni kitu cha muhimu saaana? Mtu sio mwandishi wa udaku, wala huna uhusiano na yeyote kati ya hao, yet suala lao sio profitable in any means, lakini unatumia nguvu nyiingi kulijua undani.
Nyie ndo mnataka ule umaarufu wa kiRombo kwa kujifanya unawajua wamiliki wote wa magari ya mizigo.
Aaaagh!
hahahahahahaha Mp!
Una bifu na warombo uh!
Ila umechana kweli mzazi, hizi ishu ni immaterial to be discussed in these forums.
hahahaha Keby, huyo mtoto wake wa kiume anaitwa nani?
Maana ninavyomuelewa huyo mhindi, uzao wake wa kwanza ni binti ambaye amelowea huko UK!
Mvulana ni wa pili, anaitwa Ally ndio msimamizi wa mali zote za babake!
Nikupe address ya Ally?? Labda kama huyo ndio ulisoma nae!
hizo ndo details. Siyo upupu ulioandikwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu. Pa1Ni mali ya Bw.&Bi Bharw....na watoto wao, walianza na biashara ya kiwanda cha uchapishaji miaka ya themanini, wakapanua wigo wa biashara na kuuza computers, servers na ups serikalini na mashirika ya umma enzi hizo kwa bei mbaya, biashara ya ndege za kukodi, majengo ya kupangisha mjini, baadae wakanunua r.com na jengo lake wakalibadili kuwa hoteli/apartments ndio Sofia house ya kwanza, na nyingine zikaja kutokana na faida + uwekezaji.
Asili yao ni wahindi, ila watoto na wajukuu wamezaliwa nchini Tanzania. Wanaipenda sana CCM, na ni walipa kodi wazuri tu!! Kama unabisha waulize maofisa wa TRA.
Yakidhi kiu yako, mengine kasome kwenye Encyclopedia pale Tanganyika Library jirani kabisa na Sofia House namba one!!!
hizo ndo details. Siyo upupu ulioandikwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu. Pa1