Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Kisa Cha lutu Muhammad kaiba kutoka wayahudi na hakutoa acknowledgement

Kuhusu ushoga biblia inasema

WALAWI 20 13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Wee kijana kisa cha Lutu kwenye Biblia kipo kwenye kitabu cha Mwanzo. Sasa wewe unanisomea WALAWI wapi na wapi?

Mimi katika andiko langu nimeongelea habari ya Lutu katika kitabu cha MWANZO. Haya nionyeshe katika hicho kisa cha Lutu ambaye ameelezewa ndani ya Kitabu cha Mwanzo ikipinga ushoga.
 
Mnasema Watauawa sasa Mbona hamuwaui. Alafu nyie kizazi Chenu si munaamini katika Yesu na Agano Jipya.

Inakuwaje unaparamia Agano la Kale, Agano la kale kuna vitu vingi vinaendana na Uisilamu, vichache ndio Mumeweka utumbo wenu. Na mkiambiwa muwe Waislamu munakataa
 
Biblia inavitabu vyote ndipo Muhammad alipo copy kisa Cha lutu
 
Wee kijana kisa cha Lutu kwenye Biblia kipo kwenye kitabu cha Mwanzo. Sasa wewe unanisomea WALAWI wapi na wapi?

Mimi katika andiko langu nimeongelea habari ya Lutu katika kitabu cha MWANZO. Haya nionyeshe katika hicho kisa cha Lutu ambaye ameelezewa ndani ya Kitabu cha Mwanzo ikipinga ushoga.
Nenda kasome kisa chote , mpaka walitaka kuwalawiti Malaika wakapigwa upofu , usiwe unadandia visa vya biblia kama Muhammad
 
unaporuhusu Ushoga, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa. Wengi mpaka muisikilize Qur'an ndio muoanishe na kisa chenu ndani ya Biblia.
Wewe huyu na ujinga wako unasema kwenye biblia hakuna ushoga ulipopingwa biblia imeongea mpaka wafiraji

1 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,...
 
Nenda kasome kisa chote , mpaka walitaka kuwalawiti Malaika wakapigwa upofu , usiwe unadandia visa vya biblia kama Muhammad
Nimwsoma sijaona neno walitaka kuwalawiti Malaika kama unalo lilete hapa
 
Wewe huyu na ujinga wako unasema kwenye biblia hakuna ushoga ulipopingwa biblia imeongea mpaka wafiraji

1 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,...
Nyinyi Wakristo huwaga mnanishangaza sana kwasababu hawa viumbe ni vigeu geu sana. Yani huwa wanakataaga Agano la kale kwa kudai kuwa limepitwa na wakati.

Mfano kwenye kitabu kama KUMBUKUMBU LA TORATI na MAMBO YA WALAWI huwa wanapinga, wanadai kuwa zilikuwa ni sheria alizopewa Nabii Musa kwa wana wa Israeli tu na hamuzitumii kwa sasa.

Lakini cha Ajabu wewe MOKITI umekuja na andiko kutoka kwa WALAWI 20:13 linalosema Mtu Mume na Mtu Mume wasiingiliane.

Sasa kama unalikubali andiko hilo, kwanini mseme Agano la kale au Torati imepitwa na wakati?

Wewe umesoma Walawi 20:13 na kulikubali. Sasa na mimi nakusomea Walawi hiyo hiyo ambayo ni WALAWI 11:4–8 ambayo imezuia ulaji wa Nguruwe alafu tuone utalikubali au utalikataa.

WALAWI 11:4—8
Mambo ya Walawi 11:4-8 (Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.)

Sasa kama ulikubaliana na hoja ya Ushoga katika Walawi 20:13 na ikakubaliana na 1Wakorintho 6:9–11, basi pia unatakiwa ukubaliane na hoja ya kuacha kula Nguruwe kutoka kwenye kitabu hicho hicho cha Walawi 11:4—8

Lakini cha ajabu wakristo Wengi mnakula Nguruwe mnakaidi Walawi walivyosema Mkidai zilikuwa ni Sheria za Musa kwa wana wa Israeli tu. Sasa mbona hata hii uliyoitoa Walawi 20:13 pia ni Sheria aliyopewa Musa kwa wana wa Israeli pekee. Sasa unaikubali vipi wewe Mokiti?

Kisingizio cha hovyo kabisa kwamba kula Nguruwe ni Ruksa japo wamekatazwa na WALAWI, eti wanakitoa kutoka katika agano jipya katika Kitabu Marko 7:15,19,20 ambapo inasema kimuingiachi mtu si najisi bali kimtokacho. Hakika huu ni Uzushi wa kiwango cha SGR. Mbona WASABATO hawali Nguruwe ila Wakristo Mliobaki mnakula na imekatazwa.

Kuna maandiko mengi sana ambayo sina ulazima wa kuyaweka hapa yanayoonyesha kuwa kwenye kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI NA WALAWI(MAMBO YA WALAWI) kuwa watu waliozini waliuawa kwa kupigwa kwa mawe ili kukomesha tabia hiyo(Na watu walioiba na makosa mengine walipewa adhabu). Lakini ukija kwa Agano jipya inapinga kwamba watu wakizini na kufanya makosa mbalimbali waachwe tu. Sawa nimekubali. Sasa unaletaje hoja ya Ushoga kutoka kwenye agano la kale tena Torati wakati nyie Wakristo munaipinga?

Sasa nataka uweze kumatch na kwa NGURUWE pia. Kwanini kwa upande wa NGURUWE ukisoma WALAWI inapingana na AGANO JIPYA?

Yani Walawi anasema Usile Nguruwe huku agano jipya mnadai mmeruhusiwa kula nguruwe.

Kwanini kwenye Ushoga imatch ila kwenye Nguruwe isimatch.... Huo ni Uzushi wa Biblia yenu. inaenda huku inajikanyagakanyaga, usile Nguruwe basi pia kama unakubaliana na hilo.
 
MUNGU atakulipa kwa kuendelea kueneza Aya feki...Acha tumuachie yeye mana ndo mbora wa walipaji.
Huyo ni mungu wa waarabu wala sio mungu wangu..sina imani katika mungu wa waarabu anaye ruhusu watu waingiliane kinyume na maumbile.

So hiyo ni dua ya kuku kwa mwewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Qur'an imepinga Ushoga kwa kupitia Nabii Luti.

Lakini cha kushangaza katika Biblia, ukisoma hicho kisa cha LUTU ambao wao Wakristo hawamtambui kama Nabii, haijaonyesha Dhahiri kuwa vitendo vilivyokuwa vinafanyika pale ni vya kuingiliana Wanaume kwa Wanaime (Ushoga).

Bali Biblia imekazania tu Uovu, Mara Uovu ulizidi. Uovu huo ni uovu gani? (Mbona Biblia haijakuwa Specific kwamba ni Ushoga? Wote tunajua Uovu upo wa dizaini nyingi.(Kama Usiue, Usizini, na n.k.)

Ndio maana sishangai mda mwingine Ukristo dhehebu kama Roman Catholic unaporuhusu Ushoga, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa. Wengi mpaka muisikilize Qur'an ndio muoanishe na kisa chenu ndani ya Biblia.
Hakuna mkristo anayehangaika kusoma kitabu cha majini..ila kuna wimbi kubwa la waislamu wanajifunza biblia...na kupata historia kamili.

Pia ushoga umetajwa na umekemewa sana kasome vitabu vya torati.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hayo ndio mambo anayoyajua kijana wa Kitanzania,
Akitoka hapo aende twitter kutukana serikali haitoi ajira blah blah,

Huruma.
Aya ya pili inahitaji uzi wake tujadili haya ya mtoa mada kwanza. Naona kama unataka kuhamisha mada.
 
Nimwsoma sijaona neno walitaka kuwalawiti Malaika kama unalo lilete hapa
Neno kumjua kwenye biblia kimetumiaka kama kumuingilia, walitaka wawapige machine Malaika lutu akajitolea kuwapa Binti zake wawili wa kike wakakataa wakataka Malaika ambao walikuwa kwenye umbo la kiume la kibinadamu , ndipo wale Malaika wakawapiga upofu
 
Hakuna mkristo anayehangaika kusoma kitabu cha majini..ila kuna wimbi kubwa la waislamu wanajifunza biblia...na kupata historia kamili.

Pia ushoga umetajwa na umekemewa sana kasome vitabu vya torati.

#MaendeleoHayanaChama
Soma vizuri andiko langu ndio utalielewa.

Kwanini Agano la kale limekataza kula nguruwe na nyinyi mnakula kwa kisingizio cha agano jipya.

Ila Habari za Ushoga kwenye agano la kale ndio mnazikubali pekee
 
Neno kumjua kwenye biblia kimetumiaka kama kumuingilia, walitaka wawapige machine Malaika lutu akajitolea kuwapa Binti zake wawili wa kike wakakataa wakataka Malaika ambao walikuwa kwenye umbo la kiume la kibinadamu , ndipo wale Malaika wakawapiga upofu
Kwahiyo ni wapi ilionyesha Wanasodoma na Gomora wenyewe wanaume tupu wakifirana
 
Kuna dogo mmoja ni msenge siku moja nikaamua kumtolea uvivu kumsema..huwezi kuamini alinisuta..mwisho akasema "Kwani wako?
 
Soma vizuri andiko langu ndio utalielewa.

Kwanini Agano la kale limekataza kula nguruwe na nyinyi mnakula kwa kisingizio cha agano jipya.

Ila Habari za Ushoga kwenye agano la kale ndio mnazikubali pekee
Ukielewa dhumuni la kristo..huta hangaika na mengine.

Soma kitu kinaitwa haki kwa imani na kuokolewa kwa neema..huu ndio msingi mkuu wa kila mkristo.

Ukijifunza hivyo vitu ndio utaelewa kwanini wakristo hawampondi mawe mpaka kufa mtu aliyezini na sheria nyinginezo nyingi toka torati ya musa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom