Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,892
- 28,168
Tahadhari: Huu Uzi Una Sauti kubwa mno,kama upo very sensitive pita Kulia!
Tofauti na Sodoma na Gomora ya zamani ni kwamba wale waliadhibiwa Kwa kuingiliana au kufanya mapenzi wanaume Kwa wanaume, ambao masalia Yao wapo mpaka Leo hawa wapumbavu.
Lakini Sodoma na Gomora ya Leo wanawake nao wanashiriki Sana katika huu uovu, wapumbavu Sana hawa.
Lakini pamoja na wanaume siku hizi kuwaingiliana wanawake kinyume na maumbile bado haifichi au haipotezi uhalisia kuwa yote hayo ni maovu ya Sodoma na Gomora.
Na nyote hamna tofauti na watu wale ambao walifanya uovu na kumchukiza Mwenyezi Mungu Mpaka akaupindua mji wao juu Chini na bado siku ya Kiama watapata adhabu Kali zaidi.
Ebu tumsikie Nabii Luti aliwaambia nini umma wake juu ya kadhia hii:
أَتَأْتُونَ الذُّكْرَانَ مِنَ الْعَالَمِينَ
Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?
وَتَذَرُونَ مَا خَلَقَ لَكُمْ رَبُّكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم ۚ بَلْ أَنتُمْ قَوْمٌ عَادُونَ
Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka
Nabii Luti anatufahamisha vizuri Sana hapa, kwakusema katika viumbe wote au Kwa wanawake wote hao mnawaingilia wanaume? Na akaendelea kusema je mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu?
Ni kipi hicho alichotuumbia Mola wetu? Jibu ni rahisi Sana ni sehemu ya Uzazi ya mwanamke. Hiyo ni sehemu makhususi Sisi kuiendea na si kinyume na hapo.
Sasa kama sisi tumeacha sehemu tuliyo umbiwa na kwenda kinyume na hapo je tunatofautiana nini na wale watu ambao wanaingiliana wanaume Kwa wanaume?
Kwahiyo Enyi wapumbavu mnaowaingilia wanawake kinyume na maumbile basi mjue kabisa hamna tofauti na wale wanao waingilia mashoga kwasababu utupu wa nyuma ni ule ule Kwa wanaume na wanawake na dhambi ni ile ile.
Enyi wanawake acheni upumbavu Kwa kuamini kuwa mwanaume ili akupende zaidi au umtulize basi ni lazima umpe utupu wako wa nyuma, acheni huo ujinga na Mcheni Mwenyezi Mungu ili mpate mwisho mwema.
Licha ya kukutana na adhabu Kali huko mwisho wa Maisha haya ya dunia, lakini ebu jali afya yako, ukisha haribiwa huko nyuma unafikiri kuna mwanaume atatamani kuwa na wewe?
Kwa taarifa yenu wanaume mara nyingi hawafanyi huo uchafu na wake zao Bali na nyinyi mnaofanywa Michepuko, jiulize kwanini? Kwasababu mnachukuliwa kama watu msio jitambua na wapumbavu,na ukishaharibika huyo humuoni tena.
Je ndio ushaharibika na umeachwa unadhani kuna mwanaume atapenda kuoa mwanamke mpumbavu kama wewe?
Naongea Kwa sauti ya juu na nyinyi kwasababu naamini kabisa mkikataa kukubali huu upumbavu hakuna mwanaume ambaye anaweza kufanikisha ufirauni wake.
Na wakati mwingine mwanaume ambaye anakuingilia ambaye hajaoa anajua kabisa anachofanya ni makosa na huenda ameweka azma kuwa baada ya kuoa ataacha hiyo dhambi, sasa je unadhani atakuoa wewe wakati anajua hata kama yeye ameacha basi ana uwakika kwakuwa ushazoea basi lazima utaenda nje ya ndoa Yako kufanya huo ujinga, solution kwake ni kukuacha mazima.
Kuna mume mmoja aliwahi Toa ushuhuda kuwa alimwoa madam mmoja hivi, lakini kila alipokuwa anamwandaa Kwa romance ya kutosha aaa wapi hakuna response yoyote toka Kwa mke, yaani wala haonyeshi dalili yoyote ya msisimko, ndio siku moja akajaribu kukumpapasa Yale maeneo aone reaction yake itakuwaje... loo salale madam huyu hapa anaguna Kwa hisia Kali, ndio akafunguka yeye ameshazoea hiyo michezo, unajua nini kilifwatia? Jamaa akamuacha mke fasta Tu.
Je mnapenda haya yawakute Kwa mambo ya kuigaiga Tu! Common ladies je mnataka muwe mnatembea na pampus pale mnapo aanza kuvuja maji huko nyuma,mtokwe na uchafu bila kujijua? Mtokwe na upepo hata pale unapocheka Tu? Ushindwe kujifungua vizur pale mnapo zaa? Je vipi kuhusu maambukizi mbali mbali, ndio ushaharibika sasa just imagine ni kiasi gani utaathirika kisaikolojia?
Ladies muogope na kaa nae mbali mwanaume ambaye anakushawishi na kutaka kukudhalilisha. Kwa kujifanya anakupenda sanaaaa! Anayekupenda hawezi kutaka kukudhuru Kwa kukuharibu, weka hiyo akilini mwako utakuja kunishukuru baadae.
Namalizia na hii kuna madam mmoja tulikutana nae morogoro,akatuambia kuna ndugu yake mmoja na mkewe waliadhirika ugenini, baada ya kwenda kutembea Kwa wenyeji wao wakafanya Yao, daah madam yule akatokwa na uchafu na kuchafua shuka ugenini, je ilikuwaje baada ya hapo wala sikutaka kujua coz ni fedhea kubwa Sana.
Be smart, be positive & love yourself!
Ni hayo Tu!