Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

We jamaa unatakiwa ujue kwamba ushauri bora ni ule unaotolewa na mhanga mwenyewe. Mashoga, walevi, makahaba, mateja hata wezi huwa ni watu wenye majuto sana kimoyomoyo kwenye maisha yao. Wengi wanapambana kutoka huko ila wanashindwa. Wanaposhauri watu wasijiingize huko huwa wanamaanisha kwa dhati kabisa. Kwahiyo ukiona shoga anasema usiingie huko bora umsikilize kuliko hata kiongozi wako wa dini.
Nimekuelewa vizuri kabisa MamaSamia.
 
Sahihi
 
Qur'an imepinga Ushoga kwa kupitia Nabii Luti.

Lakini cha kushangaza katika Biblia, ukisoma hicho kisa cha LUTU ambao wao Wakristo hawamtambui kama Nabii, haijaonyesha Dhahiri kuwa vitendo vilivyokuwa vinafanyika pale ni vya kuingiliana Wanaume kwa Wanaime (Ushoga).

Bali Biblia imekazania tu Uovu, Mara Uovu ulizidi. Uovu huo ni uovu gani? (Mbona Biblia haijakuwa Specific kwamba ni Ushoga? Wote tunajua Uovu upo wa dizaini nyingi.(Kama Usiue, Usizini, na n.k.)

Ndio maana sishangai mda mwingine Ukristo dhehebu kama Roman Catholic unaporuhusu Ushoga, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa. Wengi mpaka muisikilize Qur'an ndio muoanishe na kisa chenu ndani ya Biblia.
Mzee Bible ni kitabu kigumu sana hata wakristo wenyewe wanapata shida kukielewa ,kitabu kile kimefungwa na muhuri Saba alafu usije hata siku moja ukazani Bible na hiyo Qur'an vinaendan yaan haviendani hata chembe wala usihangaike kuvifananisha ,uislam na ukristo ni vitu viwili touti,kingine linapokuja swala la ushoga kipo wazi kabisa Sema usomaji wako unataka ufananishe Qur'an na Bible ilo halipo
 
Screenshot_2022-12-15-21-01-35-229_com.sirma.mobile.bible.android.png
 
Neno kumjua kwenye biblia kimetumiaka kama kumuingilia, walitaka wawapige machine Malaika lutu akajitolea kuwapa Binti zake wawili wa kike wakakataa wakataka Malaika ambao walikuwa kwenye umbo la kiume la kibinadamu , ndipo wale Malaika wakawapiga upofu
Tatizo mnachanganya Bible na Qur'an ni maji na mafuta
 
Qur'an imepinga Ushoga kwa kupitia Nabii Luti.

Lakini cha kushangaza katika Biblia, ukisoma hicho kisa cha LUTU ambao wao Wakristo hawamtambui kama Nabii, haijaonyesha Dhahiri kuwa vitendo vilivyokuwa vinafanyika pale ni vya kuingiliana Wanaume kwa Wanaime (Ushoga).

Bali Biblia imekazania tu Uovu, Mara Uovu ulizidi. Uovu huo ni uovu gani? (Mbona Biblia haijakuwa Specific kwamba ni Ushoga? Wote tunajua Uovu upo wa dizaini nyingi.(Kama Usiue, Usizini, na n.k.)

Ndio maana sishangai mda mwingine Ukristo dhehebu kama Roman Catholic unaporuhusu Ushoga, kwasababu kwenye Biblia hamna sehemu ulipopingwa. Wengi mpaka muisikilize Qur'an ndio muoanishe na kisa chenu ndani ya Biblia.
Mzee Qur'an yenu na Bible ni maji na mafuta hata kama utakuta majina yaliyo kwenye Bible yako kwenye Qur'an lakin vitu vinavyozungumziwa na kumaanishwa ni tofauti
 
Sasa unatakaje Jambo uliloliona kwenye story ya kuran ukute kwenye story hiyo hiyo kwenye Bible
Ni wapi nimetaka ? Soma posti zangu vizuri

Najua Koran Muhammad aliiba kazi za wayahudi na alikuwa hazielewi akatunga na story zake Yani alifanya plagiarism
 
Back
Top Bottom