Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sodoma na Gomora iliyoboreshwa!

Sikia. Kukaa mnatuletea habari za ushoga ni kuupromoti.

Kama unachukia ushoga huwezi kupoteza muda kuuongelea. Mimi nalog out. Endeleeni kujadili ushoga, mimi nina mambo mengine ya kufanya.
Mbona kama umeumia sana!!!!???? Pole, ushoga siyo kilema, unachohitaji ni msaada wa kisaikolojia tu na utaacha huo mchezo.
 
Mkuu ni kweli kabisa hakuna mwanaume ambae kama ile njia ingekuwa sahihi asingeipita ila wakuu tujitahidi sana kuipuka kwani ile njia ni mbovu... Tumuombe Mungu wetu pia atuepushe tusikutane na wanawake wa aina hiyo... Binafsi mimi hizi siku za karibuni siwafichi ni kama wanawake watano tofauti tofauti naona nguo zao zinaloa sana unyevu sehemu ya haja kubwa... Wangekuwa wanaume ningesema ni jasho la vinyweleo ila ni wanawake sasa... Asee michezo imeshamiri..... Epuka mavi.
 
Sophy nimerudi kwa heshima yako.

Nasema hivi; Bila kujalisha kama nina watoto ama sina, Kujadili ushoga ni Upumbavu.
Kama mleta mada alivyotahadhalisha, ambao hatupendi mijadala ya kipuuzi kama hii ya mashoga tulitakiwa kupita kulia. Sorry! Hamtoniona tena kwenye nyuzi zenu za ushoga.
Kuacha kujadili tatizo haisaidii kulitatua na wala haimaanishi kuwa tatizo halipo. Dawa ya tatizo ni kulitambua na kuchukua hatua. Ushoga upo na unazidi kusambaa tukikaa kimya tutakuja kuwa na taifa la ovyo sana mbeleni, nchi itanuka mavi.
 
Mi naona ushoga tu lakini wanawake wanaingiliwa sana kinyume lakin naona kama ni normal Tu mi binafsi kama mtu ananiletea izo pigo mi ntamtema Tu lakin siwez nikamkashifu au kumsema vibaya maana haitambadilisha, maana ni mwili wake na Mimi hainiathiri chochote yeye anajua kabisa ni vibaya na anafanya sasa wewe utamwelewesha nn tena
,mbona kwenye sigara imeandikwa kwamba haifai lakin watu wanavuta tu
 
Kuacha kujadili tatizo haisaidii kulitatua na wala haimaanishi kuwa tatizo halipo. Dawa ya tatizo ni kulitambua na kuchukua hatua. Ushoga upo na unazidi kusambaa tukikaa kimya tutakuja kuwa na taifa la ovyo sana mbeleni, nchi itanuka mavi.
Mbona kama umeumia sana!!!!???? Pole, ushoga siyo kilema, unachohitaji ni msaada wa kisaikolojia tu na utaacha huo mchezo.
Unasikia ndugu, mimi siwezi kuumia kwa sababu ya ushoga, mnaoumia ni nyie mnaoanzisha nyuzi za ushoga.

Ushoga uenee au hata ukizidi kusambaa mimi hauniongezei wala haunipunguzii chochote.
Mtu alieamua kutumia sehemu yake ya haja kubwa kujistarehesha iweje liwe ni tatizo kwangu mimi nisiyehusika?

Hivyo basi, nyie mnaotuletea agenda za ushoga jukwaani mmetumwa kuleta diversion. Watu tusijadili changamoto zinazotukabili za maji, umeme na kupanda kwa gharama za maisha huku vifaranga vikichoma moto kwa kukosa soko, mnataka tuanze kujadili mikundu ya watu..

Hivi nyie siyo wapumbavu kweli?!
 
Mtu anazaliwa unakuta anapenda Tu kufanya ivo unaeza kumkashifu au kumsema vibaya lakin hata akuelewi. kunamtu anakuambia kabisa sipendi pombe nataman kuacha lakin siwezi ,izi inshu ni sensitive sana kwahiyo ukiona mtu kawa LGBT mpaka wewe ukajua ujue kashapambana na hiyo Hali kibinafsi mpaka kachoka kaamua jamii inichukulie itavyoona,fikiria mtu anakuambia umuingilie au anakuomba akuingilie kinyume kajikaza kiasi gani, alafu we uzani Kwamba maneno yako au hoja zako zitam-badilisha kirais haiwezekani.
 
Unasikia ndugu, mimi siwezi kuumia kwa sababu ya ushoga, mnaoumia ni nyie mnaoanzisha nyuzi za ushoga.

Ushoga uenee au hata ukizidi kusambaa mimi hauniongezei wala haunipunguzii chochote.
Mtu alieamua kutumia sehemu yake ya haja kubwa kujistarehesha iweje liwe ni tatizo kwangu mimi nisiyehusika?

Hivyo basi, nyie mnaotuletea agenda za ushoga jukwaani mmetumwa kuleta diversion. Watu tusijadili changamoto zinazotukabili za maji, umeme na kupanda kwa gharama za maisha huku vifaranga vikichoma moto kwa kukosa soko, mnataka tuanze kujadili mikundu ya watu..

Hivi nyie siyo wapumbavu kweli?!
Nashangaa hapo tyuuh na mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu huwa wanaonekana wanapromoti LGBT lakini sijaona maali wanamuambia awe shoga awe ,au awe transgender .wao wanapinga watu wanao disturb ilo group wanajua ni dhambi lakin kila mtu anazo za kwake lakin anaona za mwenzake ndiyo mbaya zaidi kuliko zake.mtu unakuta anatoa mimba lakin anaona yeye Yuko Okey ,anajiuza anajiona Yuko okay ,anakula mtoto na mama yake lakin anajiona Yuko okay, anakula mke wa Baba yake anaona Yuko sawa ,lakin akisikia mtu ni LGBT anaona uyo ndo shetani yeye ni malaika,ndio maana tunaambiwa tusiukumu tusije tukaukumiwa kama unaona mtu anatabia izo badala ya kurusha maneno embu muombee labda atabadilika
 
Kila mtu afanye kile moyo wake unapenda hii mitizamo ya dhambi au si dhambi atajua yeye na imani yake, wewe kilee kizazi chako vile unavyotaka kiishi huwezi mbadili mtu mzima aliachagua kufilana, kufila au kufilwa madhara sijui dhambi ni zake wewe fanya yako utaishi vizur
 
Tahadhari: Huu Uzi Una Sauti kubwa mno,kama upo very sensitive pita Kulia!

Tofauti na Sodoma na Gomora ya zamani ni kwamba wale waliadhibiwa Kwa kuingiliana au kufanya mapenzi wanaume Kwa wanaume, ambao masalia Yao wapo mpaka Leo hawa wapumbavu.

Lakini sodoma na Gomora ya Leo wanawake nao wanashiriki Sana katika huu uovu,wapumbavu Sana hawa.

Lakini pamoja na wanaume siku hizi kuwaingiliana wanawake kinyume na maumbile bado haifichi au haipotezi uhalisia kuwa yote hayo ni maovu ya Sodoma na Gomora.

Na nyote hamna tofauti na watu wale ambao walifanya uovu na kumchukiza Mwenyezi Mungu Mpaka akaupindua mji wao juu Chini na bado siku ya Kiama watapata adhabu Kali zaidi.

Ebu tumsikie Nabii Luti aliwaambia nini umma wake juu ya kadhia hii:

أَتَأْتُونَ الذُّكْرَانَ مِنَ الْعَالَمِينَ

Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?

وَتَذَرُونَ مَا خَلَقَ لَكُمْ رَبُّكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم ۚ بَلْ أَنتُمْ قَوْمٌ عَادُونَ

Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka

Nabii Luti anatufahamisha vizuri Sana hapa,kwakusema katika viumbe wote au Kwa wanawake wote hao mnawaingilia wanaume? Na akaendelea kusema je mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu?

Ni kipi hicho alichotuumbia Mola wetu? Jibu ni rahisi Sana ni sehemu ya Uzazi ya mwanamke. Hiyo ni sehemu makhususi Sisi kuiendea na si kinyume na hapo.
Sasa kama sisi tumeacha sehemu tuliyo umbiwa na kwenda kinyume na hapo je tunatofautiana nini na wale watu ambao wanaingiliana wanaume Kwa wanaume?

Kwahiyo Enyi wapumbavu mnaowaingilia wanawake kinyume na maumbile basi mjue kabisa hamna tofauti na wale wanao waingilia mashoga kwasababu utupu WA nyuma ni ule ule Kwa wanaume na wanawake na dhambi ni ile ile.

Enyi wanawake acheni upumbavu Kwa kuamini kuwa mwanaume ili akupende zaidi au umtulize basi ni lazima umpe utupu wako wa nyuma,acheni huo ujinga na Mcheni Mwenyezi Mungu ili mpate mwisho mwema.

Licha ya kukutana na adhabu Kali huko mwisho wa Maisha haya ya dunia,lakini ebu jali afya yako,ukisha haribiwa huko nyuma unafikiri kuna mwanaume atatamani kuwa na wewe?

Kwa taarifa yenu wanaume mara nyingi hawafanyi huo uchafu na wake zao Bali na nyinyi mnaofanywa Michepuko,jiulize kwanini? Kwasababu mnachukuliwa kama watu msio jitambua na wapumbavu,na ukishaharibika huyo humuoni tena.

Je ndo ushaharibika na umeachwa unadhani kuna mwanaume atapenda kuoa mwanamke mpumbavu kama wewe?

Naongea Kwa sauti ya juu na nyinyi kwasababu naamini kabisa mkikataa kukubali huu upumbavu hakuna mwanaume ambaye anaweza kufanikisha ufirauni wake.

Na wakati mwingine mwanaume ambaye anakuingilia ambaye hajaoa anajua kabisa anachofanya ni makosa na huenda ameweka azma kuwa baada ya kuoa ataacha hiyo dhambi, sasa je unadhani atakuoa wewe wakati anajua hata kama yeye ameacha basi ana uwakika kwakuwa ushazoea basi lazima utaenda nje ya ndoa Yako kufanya huo ujinga,solution kwake ni kukuacha mazima.

Kuna mume mmoja aliwahi Toa ushuhuda kuwa alimwoa madam mmoja hivi,lakini kila alipokuwa anamwandaa Kwa romance ya kutosha aaa wapi hakuna response yoyote toka Kwa mke,yaani wala haonyeshi dalili yoyote ya msisimko,ndio siku moja akajaribu kukumpapasa Yale maeneo aone reaction yake itakuwaje...loo salale madam huyu hapa anaguna Kwa hisia Kali,ndo akafunguka yeye ameshazoea hiyo michezo,unajua nini kilifwatia? Jamaa akamuacha mke fasta Tu.

Je mnapenda haya yawakute Kwa mambo ya kuigaiga Tu! Common ladies je mnataka muwe mnatembea na pampus pale mnapo aanza kuvuja maji huko nyuma,mtokwe na uchafu bila kujijua? Mtokwe na upepo hata pale unapocheka Tu? Ushindwe kujifungua vizur pale mnapo zaa? Je vipi kuhusu maambukizi mbali mbali,ndo ushaharibika sasa just imagine ni kiasi gani utaathirika kisaikolojia?

Ladies muogope na kaa nae mbali mwanaume ambaye anakushawishi na kutaka kukudhalilisha,Kwa kujifanya anakupenda sanaaaa! Anayekupenda hawezi kutaka kukudhuru Kwa kukuharibu,weka hiyo akilini mwako utakuja kunishukuru baadae.

Namalizia na hii kuna madam mmoja tulikutana nae morogoro,akatuambia kuna ndugu yake mmoja na mkewe waliadhirika ugenini, baada ya kwenda kutembea Kwa wenyeji wao wakafanya Yao, daah madam yule akatokwa na uchafu na kuchafua shuka ugenini, je ilikuwaje baada ya hapo wala sikutaka kujua coz ni fedhea kubwa Sana.

Be smart ,be positive & love your self!

Ni hayo Tu!
Alla karuhusu wewe nani upinge.?

#MaendeleoHayanaChama
JamiiForums1627937290.jpg
 
Hali imekua tete duniani
 
Back
Top Bottom