Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

Acha upuuzi wewe kenge maji sasa kama kuna shd asiseme?anaribu vp biashara kama ni wewe ungekunywa?
 
Angalia watu wanavyopost chupa zao so mm tu na mbaya zaid no hizo passion.pia haijalish inajulikana wapi swala tambua production yao inafanyika Tanzania na hiyo ndo halo iliyojitokeza.uzembe no wawatu tu wakiamua

Watu mna id zaidi ya kumi kuchafua tu biashara za watu! hapa huenda walio comment hapa hata hawafiki wa 4 ni wew mleta uzi una ma id kibao unakuja nayo hapa kuleta uzi na kuushambulia mwenyewe!
 
Si haribu boshara za watu wao ndio wanaharibu biashara yao.mbona sijasikia malalamiko makampuno mengine.namm yamenikuta mwenyewe sio hadith.watu kama nyinyi mkijaza nchi maendeleo yatachelewa sana.ukwel tuambizane
Ungewapelekea kwa uthibitisho kuliko kuleta huku ili wafanye uchunguzi. Inaweza kuwa ni fake. Pia nadhani wangekulipa
 
Cocacola ilianza kufanya kaz kabra hata babu yako hajazaliwa
 
Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.

Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.

Ww tbs?
 
Ungewapelekea kwa uthibitisho kuliko kuleta huku ili wafanye uchunguzi. Inaweza kuwa ni fake. Pia nadhani wangekulipa

Wamlipe na kashakunywa??? soda siyo nyeusi inaonyesha hadi ndani, huyo funza angeweza muona kabla hata ya kufungua na kuinywa
 
Wewe na hicho kichupa chako unachotuonyeshea kuwa ni kielelezo kuwa soda za coca ni chafu ni kuwa siku nyingine kabla hujaamua kufanya kitu kama hicho kaa chini na kufikiria consequences zake kwako; hi hivi; kisheria ni kuwa ulichoshikilia siyo kielelezo kuwa hizo soda hizo ni chafu! siyo ushahidi huo! unaweza ukawa umeweka wewe! uwe makini sana kijana.
 
Hayo mafuta ya korie na kipande cha chips ndani usituzuge ungekuwa na nia njema ungepeleka tbs au mamlaka ya chakula wafanye kazi yao
 
Sielewi kwanini watu wengine mnapinga/ kutetea uzembe huo?

Kutokana. Na soda yenyewe ishafunguliwa na ndizi anaonekanaa nje nje kukuamini inakuwa ngumu, by da way wy hakuwashitaki?
 
soda umeshaifungua umeinywa halafu unadai eti COCA ni wazembe, tutaaminije na umeshifungua na kuinywa nusu?

Yaaa mm nilikunywa bola kuangalia.na huyo aliepost soda ambayo haijafunguliwa na chafu ndan.hulaximishw kuamini Ila kubwa kuwa makin tu na unapozitumia
 
Wewe na hicho kichupa chako unachotuonyeshea kuwa ni kielelezo kuwa soda za coca ni chafu ni kuwa siku nyingine kabla hujaamua kufanya kitu kama hicho kaa chini na kufikiria consequences zake kwako; hi hivi; kisheria ni kuwa ulichoshikilia siyo kielelezo kuwa hizo soda hizo ni chafu! siyo ushahidi huo! unaweza ukawa umeweka wewe! uwe makini sana kijana.

Kama hujui sheria bora ukae kimya tu huh mtindo Wa kujifanya ulisoma sheria za harusi unaleta hapa utaumbuka.so far nishapeleka mahala husika wakachunguze Hugo mdudu kakaa ndan ya soda kwa muda gani ukumbukw mm nilikuwa bar so mashahid wengi wapo.
 
Watu mna id zaidi ya kumi kuchafua tu biashara za watu! hapa huenda walio comment hapa hata hawafiki wa 4 ni wew mleta uzi una ma id kibao unakuja nayo hapa kuleta uzi na kuushambulia mwenyewe!

Hahahahaaaaa ivi inawezekana jf eeeeh?
 
Mm sasa HIV kinywaji mbadala no juice ya kujitengenezea tu mkuu.sijatumwa na MTU hayo matukio kwa macho yangu mwenyewe so naandika nikimaanisha

Mkuu hiyo hiv ingekuwa herufi ndogo maana imeanza kuleta tabu
 
Back
Top Bottom