Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

Binafsi nimesikia inadaiwa Coca cola kama yenyewe no soda hatari sana ijapo hayasemwi lakini wadadavuaji wanasema ina hathari sana kimwili haijarishi kiwanda cha Mengi ama S.Bakharesa
 
Kwani jamani lazim mnywe soda? Khaaaa!!!!!!!

Usiseme hivyo,vitu Vingi siyo lazima ila in muhimu as unataka am una hobby ama LA ..mfano mpenzi wa mpira anaelewa zaidi passion anayoipata yeye kwenye mpira kuliko ilivyo kwako
 
soda umeshaifungua umeinywa halafu unadai eti COCA ni wazembe, tutaaminije na umeshifungua na kuinywa nusu?
 
Ushindani wa kibiashara ni hatari sana kwa maendeleo ya kampuni nyingine!
 
Soda za chupa zote si salama nimeuza duka kwa muda mrefu kampuni zote mbili pepsi cola pamoja na coca cola huwa wanakuwa na soda chafu,,,kunywa soda iliyowekwa kwenye chupa ya plastiki kwa usalama wa afya yako.
 
Unatafuta umaarufu wa bei poa cheap popularity na kama umetumwa du umetumika kama dekio jipange
 
Huyu msanii tu! kanywaaa imefika nusu ndo imekua namdudu mbona wakati hujafungua na kunywa hukumuona???
 
Kuna watu wanapenda kulalamika vitu vya ajabu soda moja umekuta uchafu umekuwa kuandika thread humu ni upuuzi kwani ulilazimishwa kuinywa hiyo soda?
 
Ijapokuwa hujaandika vizuri ila umeeleweka hvyohvyo. Anyway, ukivifuatilia sana hivyo vinywaji namna vinavyotengenezwa, unaweza ucvitumie tena yani. Ndo mana mm binafsi nimeacha kunywa soda for about 95%. Ni vyema kunywa maziwa au kuyanunua matunda na kuya-blend then kuitengeneza juice mwenyewe. Over!

Itatubidi kununua blender na kutembea nazo kama simu...
 
Itatubidi kununua blender na kutembea nazo kama simu...
Wala si kiivyo nabbingo. Wewe unakunywakunywa soda, tena home kabisa: huwa zinakusaidia nini? Ndo mana pale nikasema, mimi binafsi nimepunguza but si kwa 100% bali ni 95%... Kuna mazingira ambayo kweli soda haziepukiki ila ni minimal sana. Actually, this is just optional for the sake of your health, if u don't want; just leave as it is
 
Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani.

Hali kama hio ni hatari sana kwa afya nafikiri hii kampuni anayeindesha ama anahujumiwa au hayuko makini. Mimi nathubutu kusema hizi sio soda sahihi kunywa.
soda zote si salama kiafya acha kabisa iwe na uchafu au safi What Happens to Your Body Within an Hour of Drinking a Coke
 
Mkuu iyo hela wapigie simu then mkutane chemba watakutoa mpunga wa maana
 
wabongo bhana, asa unakuja JF wakat, ukiamua kusue mahakaman na ushahidi unao kabisa! unapata hela kibao hapo!!!

Chukua hatua wewee, Hela hiyo!!!
 
Back
Top Bottom