"Social Economic Empowerment Program" Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi

Utachomaje takataka bila kuleta madhara? Wee kweli Mzee wa madrasa
Tumefungua uzi wake, tunaomba uje kutuuliza huko tukuelekeze.

 
kutokana nalugha iliotumika humo jamaa anaonekana nitapelitapeli najamii ikaenae mbali.
Wewe kwanini haufanyi kazi ya kuwa mtaalaamu wa lugha za kitapeli, huko polisi, maana unaonesha ni hodari sana.

Kwa kukujuza tuna wateja wetu mapolisi tena wenye vyeo kabisa, ukihitaji kazi huko ya usanii wako usisite kutujulisha tutaku empower kwa kukutafutia hiyo kazi. Tutakushika mkono tukupeleke.
 

Attachments

  • 20220723_181646.jpg
    20220723_181646.jpg
    435.8 KB · Views: 10
  • 20220723_181657.jpg
    20220723_181657.jpg
    562 KB · Views: 10
  • 20220723_181705.jpg
    20220723_181705.jpg
    521.7 KB · Views: 11
  • 20220722_174755.jpg
    20220722_174755.jpg
    585.7 KB · Views: 9
Back
Top Bottom