So......Will You????

So......Will You????

Usisahau kunituma wikiendi hii kwenye nyumba ndogo yako nipeleke hichi kipaseli naye akikiona atafurahi sana[/UOTE]

Acha kumpaisha.... hio kubwa alijenga lini??<!-- google_ad_section_end -->

Ashadii nimekosea kumbe hata kubwa hana kabisa
Aache basi kutembelea club kupata wa kumliwaza kwa weekend

TF bahati mbaya leo nina miadi nae naenda peke yangu sitaki mshirika
Nilikupa cake kipindi kile hukufikisha bana
 
Unajua jamaa anazo nyingi sana sasa hadi anasahau ni ipi huwa ananituma kwake kupeleka matumizi naona anaanza kufikiria labda nimeishajimilikisha

Wewe huaminiki
Bora ukipewa pesa utafikisha salama ila sio kutumwa kwa mwanamke utaelezea mpaka shida za kikojoleo chako
 
Shem uwalakini gani tena?
Unajua kiswahili hakina longolongo...lol

Mie kukwepa tu kujikoroga... nawa quote... Yoote hii sitaki hommie wenu asome hapa....lol

Asee.....
Kwamba hujui pete ya uchumba.....hukuchumbia hommie?
Sore kwa kuwaingilia....

Muangalie shem wangu muharibufu hapa chini....

Hope hujamaanisha "kimaumbile"

Otherwise: Thread Closed!!

:smash::smash::smash:.

Thus my kukuomba taratiiiibu... Usim-support ODM....lol... Sasa hapo tell me shemeji yangu kuna longo longo ya uelewa hapo?? lol
 
Mie kukwepa tu kujikoroga... nawa quote... Yoote hii sitaki hommie wenu asome hapa....lol

Muangalie shem wangu muharibufu hapa chini....

Thus my kukuomba taratiiiibu... Usim-support ODM....lol... Sasa hapo tell me shemeji yangu kuna longo longo ya uelewa hapo?? lol

Wewe shem hujaelewa....ODM aliklarifai tu pale......au wewe unadhani sentensi yangu ilikua nusu? lol
Am out.....kabaila asijenikuta hapa.....
 
Unajua jamaa anazo nyingi sana sasa hadi anasahau ni ipi huwa ananituma kwake kupeleka matumizi naona anaanza kufikiria labda nimeishajimilikisha

:washing: iffy!!! iffy!!! iffy!! lol

Ashadii nimekosea kumbe hata kubwa hana kabisa
Aache basi kutembelea club kupata wa kumliwaza kwa weekend

TF bahati mbaya leo nina miadi nae naenda peke yangu sitaki mshirika
Nilikupa cake kipindi kile hukufikisha bana

Mimi hapa niko kuwasoma tu hapa.... Maana na wewe ushaingia list ya PA ya maneno kusema kinyume ya maana. lol
 
Mie kukwepa tu kujikoroga... nawa quote... Yoote hii sitaki hommie wenu asome hapa....lol

Muangalie shem wangu muharibufu hapa chini....

Thus my kukuomba taratiiiibu... Usim-support ODM....lol... Sasa hapo tell me shemeji yangu kuna longo longo ya uelewa hapo?? lol
Shem, hope hujamaanisha "wa mazingira"

Otherwise: Discusion Closed!!

:smash::smash::smash:
 
:washing: iffy!!! iffy!!! iffy!! lol

Mimi hapa niko kuwasoma tu hapa.... Maana na wewe ushaingia list ya PA ya maneno kusema kinyume ya maana. lol

AshaDii umeniweka kunfi moja na PA
hapana bana mimi niko tofauti kabisa kabisa na PA
 
Back
Top Bottom