So......Will You????

So......Will You????

Hizi siku mbili Jumamosi na Jumapili utazijutia sana sasa ngoja nifanye kweli.......lol

Kwa taarifa nishapanga naenda nje ya mji kabisa hata home hutaniona
Bora niachane na kunusa harufu mbaya ya sox zako na viatu nikapunge upepo nje ya mji baharini huko na mtu wangu wa karibu
 
Hivi ndio umeishaenda tayari kuweka ulinzi.....hahaha
 
Back
Top Bottom