So, so very painful

So, so very painful

Pole sana ndg yangu, you are dying now, soon you "ll germinate!!!
 
Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana, maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu, saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.

Fikiria una mtu wako mko mbalimbali, umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli, unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi.

Hivi jamani ni nini hiki?

akisema hana nauli ana maana utume pesa sio useme uende wewe
 
you have to find a money, alafu hayo yote hatutayasikia
 
naomba nikushangae tu kwa kulalamika eti kutokupendwa kwani ni lazima akupende huyo? unapewa jibu la USIJE unalalamika yupo anayemzuzua anza kumdelete atakuja anaekupenda
 
Yaani kupenda mtu ambaye hakupendi kivile au kiasi hicho hicho inauma sana, maana uwepo wako au kutokuwepo kwako vyote kwake vitakuwa sawa tu, saa nyingine utaonekana kero tu bila sababu.

Fikiria una mtu wako mko mbalimbali, umepata nafasi ya kwenda kumuona, unamuambia anasema sina hela ya nauli, unamwambia basi nitakopa nauli tu nije huko ni muda sijakuona nimekumisi, bado anasema usije, nitakuja mimi baada ya zaidi ya mwezi.

Hivi jamani ni nini hiki?
Going through the same issue ila mie mwenzio tayari nshajiongeza. Matendo huzungumza kuliko maneno. Waswahili wanasema likuepukalo lina heri nawe. Tulizana utayasahau na maisha yataendelea.
 
haiwezi kuwa ile ile wakati kuna nyama ya ulimi, nyama ya mkia, nyama ya kwapa na zingine kadhalika

OBJECTION ur honour, naomba kufafanua hapa as follows: nyama ya ulimi ni ileile, ya mkia ile ile same apllies 2 ya kwapa with kashombo kalekale. Mwisho wa ufafanuzi, naomba kuwasilisha.
Atabadili NYAMA tu, bucha ni lile lile!
 
Mmhh kuna sababu hapo ukiona vipi toa maamuzi magumu bora maumivu ya muda kuliko kuishi kwa mashaka na sinyojua
 
Ukielewa kuwa katika mapenzi ni 60/40 ama 90/10 wala hutopata taabu, there is never 50/50 katika mapenzi. Its either you give much or less and vice versa. Kwa mpenzi wangu najua mm natoa much but sipati shida maana naamini baada ya muda nitapata enough amount of love in return, give it time and keep trying if its worth it.😕

Of all the comments and advises given above, this one seems constructive.

Kwakuanzia mtoa mada hajasema iwapo uhusiano wake ni 1. 'boyfriend-girlfriend' 2. wachumba 3. Mke-Mume

Each of the above will have different consequences, pros&cons iwapo ataamua kuachia ngazi ama akiamua kubakia.

Ameshasema yeye ndie anaempenda, 98% wameshauri aachane na uhusiano alionao, na kwamba atampata mtu ambae atampenda kwa dhati! Tatizo ni kua mtoa mada hatakua anampenda 'mtu' huyo kwa dhati kama anavyompenda alie nae kwa sasa: SAME THING = IMBALANCES katika mapenzi (only this time hatakua 'victim'). Na akifanya uamuzi wa aina hii atakua ni 'selfish' in that anatafuta yeye kua katika 'position of benefit' na atakua anamdhulumu huyo atakaempata.

Madaktari wa saikolojia tunayaona haya kila mara, na pengine mtoa mada hajatupa hbr nzima kua uhusiano wao umefikaje hapo ulipo na kutokea kwa haya. Hutakiwi kutibu 'dalili' tibu 'tatizo'

Ushauri wangu, mshirikishe Mungu, washirikishe wataalamu, wazazi, viongozi wenu wa kiimani na wadhamini (kama mpo ndoani). Iwapo ni uhusiano usio wa kindoa, washirikishe marafiki zake wa karibu (ni rahisi sana mtu kufuata ushauri wa watu wake wa karibu)

Ni hayo tu kwa sasa. Good luck!
 
Inaonyesha dhahiri kuwa hana shida na wewe.Kubali matokeo na usonge mbele.
 
Back
Top Bottom