SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?


Kwani glove lazima iwe na rangi ya njano au blue ?
 
.....Challenge kwa USALAMA wa TAIFA kuhusiana na txt message itakuja pale kiongozi mmojawapo atatumiwa text msg na ku-ignore kuwa Alqaida wanampango wa kulipua tena Ubalozi wa Marekani, halafu text hiyo isambae na kwa bahati mbaya ubalozi huo ulipuke kwa moto wa gesi au ajali nyingineyo yoyote. Seriously, UWT need to deploy mechanisms to track malicious texts, particularly za kiusalama na siyo kuangalia Dr. Slaa au Kubenea anapata wapi 'the datazz' za kuwaumbua mafisadizz.
 
Mimi nawashangaa ninyi mnaoshangaa hizi habari za kueliminate watu kwa sumu au njia nyingine zozote zile. Mafisadi ni mafioso na watu waovu sana. Kwa uovu wao lolote linawezekana.
 
Mimi nawashangaa ninyi mnaoshangaa hizi habari za kueliminate watu kwa sumu au njia nyingine zozote zile. Mafisadi ni mafioso na watu waovu sana. Kwa uovu wao lolote linawezekana.

Jasusi,

Wape hao mafioso anuani yangu kama wanatafuta mtu wa kuua. Mimi siwaogopi kabisa!

Tutaanza hata kukimbia vivuli vyetu.

Unajua huu woga ndio unawafanya hata watu washindwe kutoa taarifa juu ya uhalifu.

Ogopa kifo kinachotokana na kutenda maovu, lakini kufa unatetea haki? Sioni ubaya wake kabisa.
 

Masatu, critical msgs to cellular phones are traceable. usalama wa taifa unahusiana pia na usalama wa hofu za raia. if they've dealt with it, then let the masses know kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa wamemshughulikia mzushi huyo kuliko kuacha this fad get out of control.

Habari za uzushi au ukweli kuhusu kulipuka mabomu, mafua ya ndege, na magonjwa mengine ya mlipuko falls in the same category na hizi phenomenon za uzushi kwenye mitandao. Wananchi inabidi wapewe taarifa za kuzipuuzia au kujihadhari.
Let's inform the nation na siyo kuwaachia tu wakinaMkjj watangaze hapa JF ndiyo tuchukue tahadhari au kupuuzia. Remember usalama wa Taifa ni usalama wa Raia pia.

....picha hiyo kwenye avatar ni mimi, brazameni ninafanana naye tu na tulisoma shule moja, ni mtoto wa mtoto wa mtoto wake 🙂

SteveD.
 
Kwani Mwakyembe na Sitta wanahusikaje? Hawa si wanafanya kazi waliyotumwa na Wabunge? Mwakyembe kwa mfano sioni kwanini mtu mwenye akili yake anaweza kufikiria kumuua! That is the minimum he could do? The man did not venture to find any direct evidence on anyone (maybe not his fault-- hakupata ushirikiano mzuri na vyombo vya usalama)! Naamini kuwa mtu anayedhani kuwa kumuua Mwakyembe au Sitta ni suluhisho la tuhuma zao, is highly mistaken. Nachukulia habari hii kama tetesi tu!
 
Ni ngumu sana kujua nani anatumia namba ya simu Bongo.....believe me......bongo watu hawana address ila kama mtu katuma toka nje basi kumjua ni rahisi sana.....

Huu umekaa kaa kitetesi tetesi lakini haupashwi kupuuzwa.....
 
mnamo tarehe 4,may, 2007, nilipata simu ya vitisho toka kwenye private number, na ilinionya kutoingilia mambo fulani au kumwaga hapa ni kuwa, kijijini kwetu kuna mkataba wa kifisadi unaomlinda mwekezaji mmoja feki, huyu anaendesha hoteli nzuri ambayo kijiji au chama chetu cha ushirika kiliachiwa na ma-settler waliokimbia , mwekezaji huyu amegeuka mbogo hajalipa kodi ya jengo kwa muda wa miaka 12, zaidi ya dola 123,ooo

kila swala hili likianza, viongozi wote wanaopokea hili tatizo wanakatiwa wanaingia mitini. mbaya zaidi waziri mmoja anamsaidia mwekezaji huyu apewe hati eneo hilo na mali za ushirika.

kwa kuwa tulikuwa kimbelembele ndo yakanikuta hayo ya kupigiwa simu ya na kuahidiwa kutwangwa risasi
nilienda kwenye mitandao yote, jibu walilonipa ni kuwa ,wanaweza kumpata mpigaji wa hiyo namba, shart ni lazima polisi wahusishwe na wao ndo wataweza kupewa hiyo information,

ni mwaka sasa na hakuna hatua yeyote, nilikanyaga polisi mpaka nikachoka, nikatoa elfu tano tano za vocha mpaka nikachoka

mwishoni, nikapeleka swala hili na details zote, yule niliyempelekea badala ya kufanya uchunguzi dhidi ya mwekezaji, yeye alienda kwake kuanzisha uswahiba! mpoooo
 
nilienda kwenye mitandao yote, jibu walilonipa ni kuwa ,wanaweza kumpata mpigaji wa hiyo namba, shart ni lazima polisi wahusishwe na wao ndo wataweza kupewa hiyo information

Hivi bongo unaponunua line mpya unaandikisha jina an kutoa proof zako kama kitambulisho........hao wanaweza kujua imepigwa toka wapi na si kujua nani kapiga simu........kwa bongo bado ngumu sana......
 

Mkuu Mwikimbi,

Mbona bado unatesa tu mkuu, au bado wanatafuta risasi za kukutwanga nazo? Au ndio uliogopa na hukumwaga siri tena? Kuna watu wanajua Watanzania tumezidi uwoga na wanatumia weakness hiyo kutishia watu.

Hivi kama tunaogopa vifo hivyo, mbona tuna take risk kirahisi kwenye ukimwi? Kwa mimi afadhali mtu anitwange risasi kuliko kusumbuana na ugonjwa miaka na miaka.
 


sizani kama wanaweza mtrace.
mfano kila akituma sms anachomoa simu kadi anaitupa ama anaizima simu kabisa maana kazi ya simu hiyo ni mambo hayo tu.Na akitaka kutuma sms mfano yeye anaishi mbezi anaenda moro ndio anaifungua simu dakika moja anatuma sms anachomoa kadi anaitupa na anazima simu anarudi kwake mbezi.

Mimi nafikiri kazi hiyo kwa serikali yetu ni sawa na sisimizi kumlaumu mbona hawezi kubeba kisoda cha maji?? Na kumuita sisimizi huyo mzembe.
 
...kaka, chunga usije ambiwa kuwa you are soliciting suicide!!
 

Siyo tu kuchomoa sim card au kuhama sehemu, unaweza ukawa na visimu vingi tu vya bei poa na sim cards kibao, ukimaliza unatupa. Sijui kama tracing ni rahisi kwa mtindo huo.
 
...kaka, chunga usije ambiwa kuwa you are soliciting suicide!!

SteveD,

Kwi kwi kwi!!! napenda kweli kuishi ila pia siogopi kabisa vitisho vya mtu hasa pale ambapo natetea haki. Soma maneno ya yule scientist "I am not afraid of death but in no hurry to die".

Nashangaa tunaogopa vifo hivyo lakini tunaongoza ku take risks za ajabu ajabu kama kwenye magari, ukimwi na mengine mengi.

Kama unachofanya unafanya kwa haki tupu, hakuna haja ya kuogopa kifo.
 
Upo umuhimu mkubwa tu wa message kama hizi kuwekwa hapa JF. Hata hivyo ningependekeza kuwe na time frame ya kuruhusu mjadala kwa issue kama hii, say 6hrs.
Sioni cha kujadili kwa kirefu hapa. Kwa kuendelea kufanya hivyo ni kukosa mwelekeo.

Niulize swali; thread ikifungwa, yaweza kufunguliwa baadae ikitikea haja ya kufanya hivyo?



.
 
Mkamap, no disrespect, lakini hiyo ya kutupa simu au kwenda pahali remote kupiga simu ndiyo unaona ni njia murua ya kujificha ukitaka kutuma text za namna hiyo?!.... ndugu yangu ukitaka kujua hiyo ni kinga au siyo kinga jaribu kutuma text ya kulipua bomu ubalozi wa marekani kwa mlinzi au ofisa mmoja halafu kwa bahati mbaya itokee kuwa ubalozi huo unalipuka. Osama kule kwenye mapango yake kule Tora Bora ndiyo maana hatumii au alikuwa hatumii electronic messaging.
 

Wewe sio tishio kwa mafioso.
 

Ukitaka kujificha hapa duniani usitumie any electronic gadget, vinginevyo wajanja watakunasa tu.

Kuna technologies za kutosha hapa duniani kunasa hata wale wanaojifanya wajanja sana.

Watu wengi wananaswa shauri ya wanawake na simu.
 

Hili pia kwa kumhusisha Mwakyembe na Sitta, lina uhusiano na hizo agenda unazoziona muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…