pumbavuUvumilivu Umenishinda
Habari yako. Uvumilivu umenishinda, kuna kitu umekifanya kimenikera kweli...!! Nimeambiwa habari zako, yaani sikuamini...! mpaka sasa hainiingii akilini, naona kama naota vile! lakini hizi ni habari toka kwa mtu ninayemuamini sana. Nikaona nikuulize mwenyewe kwa sababu labda ni chuki binafsi kuchafuliana majina. Sasa naomba uwe muwazi na mkweli uniondoe katika utata huu na kurudisha heshima yako. eti ni kweli UNATEMBEA na simu yako?
Kuna SMS nyingi zimekuwa zikitumwa zenye vituko. Tupia yako hapa. Baadhi ni:
****************************
Mke: Naomba tuongee mume wangu
Mume: Ongea
Mke: Ni kuhusu huyu house girl wetu
Mume: Hilo ni tatizo lako, halinihusu
Mke:Ana mimba
Mume: Hilo ni tatizo lake, halinihusu
Mke: Kasema ni yako
Mume: Hilo ni tatizo langu, halikuhusu
****************************
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya, akamwambia dereva wake ampeleke airport. Wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau, akamwamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumban akamkuta mkewe akiwa bafunianaoga, akaamua kumnyemelea na kumshika kiuno. mke akiwa na mapovuusoni akalitaja jina la dereva, "We Hancy, umeshamfikisha yule ms**ge Airport? Acha nikuoshee utafaidi mwezi mzima. Je, ungekuwa wewe ungefanya nini?
****************************
Maongezi ya mama mkwe na binti wa kileo
Mama mkwe: Binti samahani lakini, kusema ukweli mtoto hafanani na kijana wangu
Binti: Bila samahani mama, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy! Tena ukome kunifatilia
****************************
Leo watoto kuanzi miaka mitatu kushuka chiniwameandamana kuelekea ustawi wa jamii kudai kuibiwa jina kao la BABY na kupewa watu wazima na mindevu yao na matiti yao wanaitana BABY. Vipi wewe unahusika na unyanyasaji huo?
****************************
Wanandoa na wapenzi waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa KISUKARI. utafiti unaonyesha kuwa wanaugua ugonjwa huo kwa sababu ya majina wanayojiita, kama vile my HONEY, my SWEET, my SUGAR, my BANANA, my hot CHOCOLATE. Mkinge mpenzi wako na KISUKARI kwa kumwita my PIRITON, my CHOLOROQUINE, my CHILL SAUCE, my SHUBIRI. Imetolewa na WIZARA YA YA WAPENDANAO.
Je wajua kuwa vitu vitamu huanza na herufi "K"?
Mfano keki, kiazi, kitumbua, kacholi, kalimati, kababu, kachumbari, karanga nk,
na hicho unachowaza wewe kichwani mwako ni kikubwa na kitamu zaidi ya vyote.
Sio kingine soma hapo chini
Najua hata ww unakijua.
"KUKU"
Alafu uache tabia ya kuwaza matusi Ww!
Duuuh huyo noumerMchaga mmoja alikua katika shuguli zake za kumwagilia mboga ghafla akadumbukia kisimani akapiga yowe mkewe akaja akamwagiza aende fasta dukani kununua kamba aje amrushie ajiokoe. Punde mkewe akarejea na kumrushia ila kabla hajapanda akamuuliza mkewe kanunua wapi, mkewe akamjibu kwa shirima buk 1500, dah jamaa akahamaki akamwambia arudishe fasta akanunue kwa chuwa shs 500.
Inaitwa HONGO tehe tehePESA INA MAJINA MENGI SANA
- Kwenye Ibada Sadaka /zaka
- Kwenye Misiba inaitwa Rambirambi
- Kwenye Mashuleni/ Vyuoni inaitwa ada /Karo
- Kwenye vyombo vya Usafiri inaitwa Nauli
- Kwenye kudai upendeleo Mahakamani au POLISI inaitwa Rushwa Hongo.
- Kwenye Kumdhamini Mtu Mahakamani au POLISI inaitwa Dhamana
- Kwenye Mapenzi pesa inayotolewa kununua / kulegeza / kulinda Penzi inaitwaje?
Hahahaaa mchaga halisiMchaga mmoja alikua katika shuguli zake za kumwagilia mboga ghafla akadumbukia kisimani akapiga yowe mkewe akaja akamwagiza aende fasta dukani kununua kamba aje amrushie ajiokoe. Punde mkewe akarejea na kumrushia ila kabla hajapanda akamuuliza mkewe kanunua wapi, mkewe akamjibu kwa shirima buk 1500, dah jamaa akahamaki akamwambia arudishe fasta akanunue kwa chuwa shs 500.