SMS hizi! Ungefanyaje?

nani mwenye makosa?

Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
nimekugongea like kubwa sana
 
mbavu zangu,kweli izi sms ni tabu tupu sitasahau siku nilituma sms nikajua imeenda kwa mbea mwezangu tuliekua tunachat tukimsema jamaa nikakosea ikaenda kwa mhusika dah!!sitakaa kusahau

Daaah hii kali, sipati picha alivyokuuliza ukamjibuje, hahahaaa
 
NANI MWENYE MAKOSA?

Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "Jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
mke ndo mwenye makosa...mi nimestuka,,...sikufikiria
 
[h=5]Kuna swahaba alikufa alipofika mbinguni akaona saa nyingi za mshale ukutani, akamwuliza malaika hizi za
nini? Akamwambia hizo zinahesabu dhambi, ikizunguka mara moja dhambi
moja, kulikuwa na saa moja haizunguki akamwambia ile ni ya nabii Musa hadi anakufa hajawahi kutenda dhambi, Akauliza saa ya huyu anaesoma sms hii iko wapi? Akaambiwa iko chumbani kwa ibilisi mwenyewe anai2mia kama FENI

[/h]
 
Usiku kucha Singasinga alikuwa akijamba kila aina ya mshuzi
Mkewe akamuuliza na nini leo wewe?
Akajibu : natafuta Ringtone ya Mku**u wangu siku hizi Makampuni ya simu yanalipa kila wimbo
 
Wewe kweli ni ukwaju. Nimeipendapo hii

Mke : kuna nini kwa jirani?
Mume. : itakuwa Birthday
Mke : ya nani?
Mume : Tuyuu
Mke : Tuyuu ndio nani?
Mume. : simui ila wanamwimbiaga Happy Birthday Tuyuu ....
 
Demu alifariki kwa ukimwi sasa mama yake akawa anaangalia nguo zake akakuta bikini mama akasema, kweli ugonjwa huu ni mbaya umekondesha mpaka chupi!

Kweli JF mahali pa kuchekesha walonuuna na kuchangamsha walozubaa na kufikirisha wenye kufikiri.
 
hii kali
 
Usiku kucha Singasinga alikuwa akijamba kila aina ya mshuzi
Mkewe akamuuliza na nini leo wewe?
Akajibu : natafuta Ringtone ya Mku**u wangu siku hizi Makampuni ya simu yanalipa kila wimbo
tehehehe...ukwaju iyo kali
 
Mlevi kaanguka toka ghorofani fasta watu wakamfata kumsaidia wakamuuliza VIPI IMEKUAJE? Mlevi akajibu: "HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI..."
we mkali
 
ameen...dingi kakasi kama nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…