Peponi kutakuwa hakuna watu wengi kwa sababu ya roho zetu mbaya. Mtu anacho lakini kumpa mwenzie anaona taaabu. Pengine wewe roho yako nzuri, hebu tuone, simu yangu haina salio naomba unipunguzie, nina uhakika mtihani huu utafeli, kama mimi muongo tuma vocha kwangu tuone!
uoga mwngne tena... Familia moja ilivamiwa na majambaz bac ilikuwa hv
JAMBAZ: Ww mama unaitwa nani?
MAMA: Mm naitwa asha
JAMBAZ: Unabahati jina lako km la marehem mama yangu hivyo ckuuwi,umesalimika na ww baba unaitwa nani?
BABA: Mm naitwa Athuman lakin kazin wamezoea kuniita asha kama marehem mama yako.siku njem
ahahahahaaa kifo kinasababsha unaukana ubaba wako
tehe.... tehe....
Mume: Kiwango gani unanipenda baby?
Mke: Zaidi ya unavyofikiria.
Mume: Hebu nieleze basi.
Mke: Mimi ni simu na wewe ni line. Bila ya line simu haiwezi fanya kazi yoyote hivyo bila ya wewe sina kazi.
Mume: Oh honey I love you!
Mke: (Kimoyomoyo) "Asante Mungu, hili kweli jinga. Halijui kama simu za kichina zinaingia hadi line 3
mambo niaje @shoga
WAZO LA LEO
Kati ya aliyeiba Biblia kanisani ili akaisome na alliyeiba hela ili akatoe sadaka kanisani, ni yupi mwenye dhambi? Naomba jibu
Ngoma droo hakuna wa kujitetea hapo.NANI MWENYE MAKOSA?
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "Jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
PROFESA WA SAYANSI YA KOMPYUTA ANAMTONGOZA BINTI
l
"Penzi langu lina "GB" kubwa sana kwako mpenzi. Nataka ni "INSTAL" moyo wangu kwenye "CPU" ya nafsi yako. Naomba uni "double click" kwenye maisha yako ili niwe "software" moyoni mwako"