Smile!

Smile!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,417
dogs-pee-on-tree.line_.deforestation.funny_.jpg
 
:smiling::smiling::dance::yo::yo::smile-big::smile-big::smile-big:
 
i can write ten different themes with this photos
 
Aaah! Mi nlifikiri Smiles huyu wa JF niliyefunga naye ndoa kupitia avatar!
 
FL1, FL1, FL1,

......hebu acha kurusha roho,

Mimi nilidhani yule binti anayeitwa Smile mwenye avatar ya Miss JF kapata masahibu.. Yaani akili ilisharuka na kumtia jinai Asprini ambaye amehaha kwa muda mrefu.

...Hivi kwa nini umepotea hivyo? Au mapanki yameisha Mwaloni?
 
1. the doggies are on the line waiting for a practice session.... the target is right under the big tree
2. there is only one tree to pee on.... phew!!!
 
:smiling::smiling::dance::yo::yo::smile-big::smile-big::smile-big:

Hebu rudisha basi ile sura yako ya siku zote. Hii kitu haifai hata kidogo...

Kama siyo akili yangu kunipa ushauri, nilitaka kukurusha kwenye ignore list ili nisioni hii....
 
mi nikajua ni smile huyu aliyepewa RUNGU!...

FL1, FL1, FL1,

......hebu acha kurusha roho,

Mimi nilidhani yule binti anayeitwa Smile mwenye avatar ya Miss JF kapata masahibu.. Yaani akili ilisharuka na kumtia jinai Asprini ambaye amehaha kwa muda mrefu.

...Hivi kwa nini umepotea hivyo? Au mapanki yameisha Mwaloni?

jamani jamani.....mi staki ugomvi!!! :Cry::Cry::Cry::Cry:
 
3. they must be german dogs commemorating Hitler's regime
 
Mi hata sijaelewa kitu hao ni mbwa au mbuzi?
 
This is non-sense!how do you relate the words of god with the queue of dogs!this is stupidity!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom