Smile!

Aspriiiiiiiin.............:mad2::mad2::mad2:

Umeandaa vizuizi..i.e concrete blocks....kwani najua gear yake ya kwanza itakuwa 100km/h na sina hakika kama wakatia anakufikia hatakuwa kwenye mwendo wa Jet...over 200km/h....
 
Umeandaa vizuizi..i.e concrete blocks....kwani najua gear yake ya kwanza itakuwa 100km/h na sina hakika kama wakatia anakufikia hatakuwa kwenye mwendo wa Jet...over 200km/h....

Language too technical....:confused2:
 
Hawa ni mbwa wa kizungu bana, wanakula vizuri kuliko wa Tz, nyie uchumi wote umesha pelea na mafisadi, kupanga watu peke yake ni issue, ukitaka kuwafurahisha wa bongo, wape tisheti na kofia za rangi ya ****** uone wanavyo pandisha mzuka. ukiwauliza ya kesho hawajui!
 
hahahahah sikumaanisha huyu mrembo smiles :biggrin1:

Sasa kwa nini na wewe unalete tungo tata,

Tena una bahati mbaya mtaalamu Bht karudi...ngoja tuwasiliane naye atusaidie utaratibu wa kukufikisha kwa afande.

Ikishindika nitalia lia kwa Robot walau ukapumzishwe 24 hrs.. Kwa nini unaturusha roho hivyo??
 
Language too technical....:confused2:

Basi pole....Enzi zetu magari ya mizigo yalikuwa yanatembea na vingingi vya kuyasaidia kusimama especially milimani. Sasa Asprin akija na speed 200km/h utamzuia na nini kama huna kigingi? Au unataka uende casuality Ward kirahisi ?
 
Oooh.....

Pole Smiles....see me ASAP for elaboration...

Sawa mwenyekiti....sijui nichukue notebook??
 
Oooh.....

Sawa mwenyekiti....sijui nichukue notebook??

Ehhhhhh, naona mzee mwenzangu ameishafika atanisaidia kueleza vizuri.

Ila pia anaweza kusaidia kwenye mambo ya kuweka kingingi endapo hatavuka ule mstari wa ...on the mark...get ready...gooooooo!
 
october 31-2010
unamaanisha chama cha jembe na shoka kitakwenda kukojol.....e...w.....a na wananchi amabo kinawaona sasa hivi kama mbwa wasio na maana?
yani wewe una akili sana. ulikuwa wapi umejiung ajuzi tu na ze Greti thinkaz
 
Back
Top Bottom