Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
Tbc wanarusha live majadiliano ya smart partnership diolog, wageni ni wengi sana wa kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo marais 8 toka nchi mbalimbali.
- Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
- Ni majadiliano kwa manufaa ya wote, ndani ya ukumbi wa Nyerere.
Kuna kitu kizuri sana kinazinduliwa kuhusu afya ya jamii yaani TELEMEDICINE ambapo kutakuwa na mtandao wa mawasiliano wa kutoa huduma za afya kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini, tatizo la upungufu wa madaktari sasa basi na mgonjwa hana haja ya kusafirishwa kwenda mbali kutafuta huduma wala kukaa foleni kusubiri huduma.ELIMU MTANDAO GOES ON.
TUFUATILIE
gesture for Mr.Obama