SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

Kila ijumaa saa sabA kamili huwa unatema pumba!!

Sikushangai wewe...kwani wenzio wanaolima maboga ndio wanaoongoza kuwapeleka wahindi na waarabu kuingia bungeni nchi hii.Bahati mbaya sana waarabu na wahindni hupend abunge ili wapate VIP passport waende nje kufanya ushenzi wao na mwishowe wasiwe na shukrani ktk nchi yetu.
 
Kipindi hiki kifupi cha wageni hawa tukikitumia vizuri kutafakari fikra mpya za maendeleo ya uchumi,siasa na utamaduni

tunazojadiliana na wenzetu hawa hakika tutafika mbali sana kwa muda mfupi.

Tusizifanye fursa hizi muhimu kama zawadi na hatimaye kutia mzaha na kuzifuja na kushindwa kuendeleza matokeo ya

majadiliano hayo.Kikubwa cha kujifunza katika majadiliano haya ni nidhamu,ubunifu,uadilifu,uaminifu na uvumilivu wa hali

ya juu sana waliotumia wenzetu hawa mpaka wakawa juu kiuchumi.
 
wapumbavu kama wewe ndio mzigo ktk hii nchi, get an info if u find mistakes sahihisha for the benefits of the members.

Sawa na upumbavu wangu. Ningesahihisha nini? kwamba sasa daktari mmoja aliyeunganishwa kwenye mtandao atatibia watu 500 kwa siku? Kwa mhadhiri mmoja kutoa mhadama kwa wanafunzi 5000 sio shida, kwani yeye hahitaji kumsikiliza kila mmoja. Sasa mtu anaposimama na kuwaaminisha watu kuwa sasa matatizo ya tiba Tanzania yatakuwa historia kwa tecknolojia hii, lazima tuhoji huyo aliyeitoa na sio aliyetuletea kilichosemwa.

Hivyo, kimsingi ningesahihisha kama huu ulikuwa mtizamo wako, wakati wewe unaonekana kuturipotia yaliyojiri kwenye mkutano. Huu ndio upumbavu wangu!
 
Back
Top Bottom