SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

educ kuanzia chini hadi juu kwa kuwa na walimu wa kutosha wa sayansi na materials/ vitendea kazi
 
Kujenga sayansi na tekn ambayo inatokana na wenyeji ni jambo la msingi.
 
kuwaendeleza wabunifu, kuwaibua walipo, mfano hawa i4n, sumsung ambao wameanzia chini kabisa
 
acha umbea wa kike mkuu, fatilia content ya mkutano

sasa kama sifuatilii mkutano ningejuaje kama kanyoa namna hiyo??acha ushamba mkuu..inaonekana hujawahi kuhudhuria mikutano mikubwa...kuna kitu tunaita EYES and EARS personel..am an EYES peersonel..(KWA FAIDA YAKO WE MSHAMBA a.ka GAMBA)
 
cm mfano, zina mambo mengi mhm lakini watu wanatumia cm kwa mambo mawili tu..kupiga kupokea na kutuma msg tuu
 
sasa kama sifuatilii mkutano ningejuaje kama kanyoa namna hiyo??acha ushamba mkuu..inaonekana hujawahi kuhudhuria mikutano mikubwa...kuna kitu tunaita EYES and EARS personel..am an EYES peersonel..(KWA FAIDA YAKO WE MSHAMBA a.ka GAMBA)

poapoa mungu akubariki sana
 
Ningekuwa Kikwete ningehutubia kwa KISWAHILI kudumisha lugha ya TAIFA.
 
More investment should be done in our youth for the future development.
 
stop thinking locally mkuu. unatia aibuuuuuu

how do i think locally,please elaborate mkuu??
Unajua the fate of EAC right now is at stake after the meeting of tripple k' excluding kikwete,so with the presence of museveni and expected presence of kenyatta we hope the contrevasial news about the future of EAC will be open,,,
Mkuu at times think twice before commenting,,,
 
JK kuuza chai kwa yai kugumu..Namsikiliza hapa kupitia TBC ktk mkutano unaofanyika dar.Anaonekana km angependa awe yeye na wenye lugha ili awaambie hii si lugha yetu.
 
Alafu it seems this kid ''habari ya mujini'' aint matured at all,,,mkuu you have to analyse things critically before posting,have read your comments and its purely shit,,
hasta luego mkuu!!
 
how do i think locally,please elaborate mkuu??
Unajua the fate of EAC right now is at stake after the meeting of tripple k' excluding kikwete,so with the presence of museveni and expected presence of kenyatta we hope the contrevasial news about the future of EAC will be open,,,
Mkuu at times think twice before commenting,,,
Mkuu hili lisiwape shipa kenyatha yupo na mseven yupo but kagame hayupo kwa hiyo mnaweza kujua nani mkorofi kwani hajatuma hata mwakilishi.
 
Kujenga sayansi na tekn ambayo inatokana na wenyeji ni jambo la msingi.

Kuna miaka fulani nikiwa A level kulikuwa na mashindano ya Sayansi na Tekinolojia kwa wanafunzi, sina uhakika miaka ya karibuni kama bado kuna huo utaratibu.
 
Jk anasema lazima kuwekeza kwa kiasi kikubwa bila kujali kama tunapoteza yaani iwe kwanza kama tunatoa sadaka then mavuno yake yatakuwa makubwa.
 
Back
Top Bottom