Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Wanatumbuiza vizuri sana huku wakipeperusha bendera ya taifa.
vipi pumbavu yupo?Kachote baharini hayo maji unayotaka.
Alisema litapungua umeona nchi gani duniani imemaliza tatizo la ajira kwa 100%,hata marekani lipo.ndoto za alnata ata 2005 JK alisema umaskn na tatzo la ajra litakua hstoria kumbe wap hzo sanaa za vjana wa lumumba
We ni mtoto wa nguruwe eeeeeeeeee!vipi pumbavu yupo?
Kwababu wewe akili yako ni ndogo ndiyo maana huwezi kuyaona haya wala kuyakubari.wapumbavu kama wewe ndio mzigo ktk hii nchi, get an info if u find mistakes sahihisha for the benefits of the members.
Mkuu nasikia ni jina la eneo hilo tu hawana uhusiano ngoja tutafute zaidi.Naona ni mwendo wa Movie back bandua dooooh! huyu Project Manager SPD ni mke ya Jairo?
Kweli magamba ni pumbavu kabisa(sio tusi hata mahakama imedhibitisha)juzi mmetuongezea kodi kwenye simu na hata line za simu tunalipia,leo hii mnakurupuka na vitu vingine...hivi vitambulisho vya uraia tayari?Hili nalo litaishia hewani tu na kodi zetu zishatafunwa!!!moja ya mada ni utatumiaje telecom kurahisisha huduma ya afya