SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

Huyu jamaa nadhindwa kumuelewa..
anakazana kushauri watu kutoa elimu kuanzia primary mpaka chuo kikuu ..sasa sijui kuwekeza ndo kurundika watoto kwenye majengo na kuwapitisha kwenye mitihani!?
ati science and technology by reseach...wenzio wanazo policy za maana za kuwekeza kwenye sayansi na research yeye anawekeza kwenye chama na familia.
 
Kuna miaka fulani nikiwa A level kulikuwa na mashindano ya Sayansi na Tekinolojia kwa wanafunzi, sina uhakika miaka ya karibuni kama bado kuna huo utaratibu.
Nadhani mkuu huu ni wakati wa kujenga na kuendeleza isue kama hizo matokeo yake yatakuwa mazuri sana kwa taifa letu siku za usoni.
 
Mkuu hili lisiwape shipa kenyatha yupo na mseven yupo but kagame hayupo kwa hiyo mnaweza kujua nani mkorofi kwani hajatuma hata mwakilishi.

i feel pitty for kagame,he makes decisions kwa kurupuka,,i have 5 friends of mine wameombwa na serikali ya Rwanda kufanya kazi huko moreover the Rwandese diaspora living in Tz are so many,,,
 
JK anaboa sasa......anaendesha ujinga, kafikia mahali anaboa.Haana cha kuongea tena...km anashawishi watu watu wanunue concepts ambzo hazipo ktk mazungumzo yake.
 
wakati naingia ofisini kama rais nilikabidhiwa doc ya hii kitu na rais mkapa that time, nilipojaribu kuwasiliana na nchi zilizoendelea wakasema sisi tunaleta mawazo tu nyie ndio mtekeleze
 
Huyu jamaa nadhindwa kumuelewa..
anakazana kushauri watu kutoa elimu kuanzia primary mpaka chuo kikuu ..sasa sijui kuwekeza ndo kurundika watoto kwenye majengo na kuwapitisha kwenye mitihani!?
ati science and technology by reseach...wenzio wanazo policy za maana za kuwekeza kwenye sayansi na research yeye anawekeza kwenye chama na familia.
Mkuu haya ni maneno ya jazima na kukata tamaa au unauchama ndani yako,tuongee mkuu mambo ki kitaifa badaye tukienda kwenye siasa tuongee haya ya chama sasa.
 
ktk mkutano huu tutajadili jinsi tec inavyo interact na ishu zingine
 
telemedicine wapi! we acha tu ccm yenu itumalize ani watu wanjadili kuondosha madini yetu we unadanganyika telemedicine,tulia!
 
JK anaboa sasa......anaendesha ujinga, kafikia mahali anaboa.Haana cha kuongea tena...km anashawishi watu watu wanunue concepts ambzo hazipo ktk mazungumzo yake.
Mkuu mbona jk katema mambo mazuri tu,tatizo we bavicha wamekuharibu.
 
kikwete amezungumzia mada kuu ambayo ni nafasi ya tech ktk mapinduzi ya kijamii na kiuchumi,
 
i feel pitty for kagame,he makes decisions kwa kurupuka,,i have 5 friends of mine wameombwa na serikali ya Rwanda kufanya kazi huko moreover the Rwandese diaspora living in Tz are so many,,,
I think the time of kagame kuendelea kutawala zinaelekea ukingoni alidhani hataambiwa ukweli daima,anadhani atawatawala watu kidikteta day to day,one day atajuta.
 
Mkuu haya ni maneno ya jazima na kukata tamaa au unauchama ndani yako,tuongee mkuu mambo ki kitaifa badaye tukienda kwenye siasa tuongee haya ya chama sasa.

Ni vyema unapotoa hoja uwe mfano siyo maneno kufurahisha watu.
Hiyo speech yake kama anaamini anachokisema mbona hajaanza yeye?
Hakuna haja ya kufurahishana kwa maneno ya kwenye karatasi.
Hapo ukimuuliza amejipangaje kuhusu mtazamo wake hachelewi kusema HAJUI.
 
Hajaanza yeye nini,kusema au kutekeleza sijakuelewa mkuu.

kama ni kusema tangu lini mgeni rasmi huanza kuzungumza au siyo mdau wa shughuri kama hizi.

Kama ni kutekeleza kwani sayansi imeanza lini na yeye wakati huo alikuwa wapi.
 
JK anaboa sasa......anaendesha ujinga, kafikia mahali anaboa.Haana cha kuongea tena...km anashawishi watu watu wanunue concepts ambzo hazipo ktk mazungumzo yake.

mkuu yaan bora akijielekeze kwenye hotuba anavyojitahidi kufafanua na kutoa mifano anapoyola mbaya....watu wameboreka basi tu wafanyaje
 
Back
Top Bottom