SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

anasema wageni wetu karibuni tanzania, anasema kuhudhuria kwenu hapa ina maana kuwa mmetoa heshma kubwa kwa mkutano huu
 
Daah mbivu na mbichi kuhusu hatima ya EAC itajilukiana kupitia mkutano huu,,mu7,kenyatta nadni ya nyumba,,,,
 
fursa hususan kwa mataifa yanayoendelea kwan yamekutana kwa pamoja na mataifa yaliyoendelea
 
Jk anasema taifa litafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa washiriki wanakuwa safe na kushiriki vema.
 
Huu ni wakati wa kuiandeleza sayansi na teknorojia ili ituletee maendeleo.
 
Maendeleo hayaji kama tsunami, bali ni polepole. Hongera Tanzania kwa technology hii atawasaidia wengi
 
anazungumzia jinsi teknolojia inavyoweza kutumika kuboresha kilimo na ufugaji kwa maana ya pembejeo....ie kilimo bora kwa wakulima ktk afrika
 
Kuongeza uzalishaji inawezekana endapo tu sayansi na teknology vitatiliwa mkazo.
 
Daah mbivu na mbichi kuhusu hatima ya EAC itajilukiana kupitia mkutano huu,,mu7,kenyatta nadni ya nyumba,,,,

KENYATA haji, maybe atawakilishwa na ruto, ana ziara inchini RUSSIA na China..naona kamind OBAMA kuiruka Kenya so kaamua kufanya ziara kwa mahasimu wake
 
teknolojia inatakiwa iwepo na iwe rahisi. na majibu yanatakiwa yapatikane ktk hii diolog
 
how do we create our own knowledge base?? obviosly we hav to start with education
 
Back
Top Bottom