SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

Wanasubiri DVD ya Cllinton. Imegoma

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
huu ung'eng'e unaotapikwa hapa wakuu, mtu anaweza akaishia kuangalia picha tu ha ha ha ahaaaaaaaaaa
 
iliwekwa video ya aliyekuwa rais wa marekani bill clinton alipokuja tz mwaka.....iliyoandaliwa na dr mihyth.
 
kesho na kesho kutwa mdahalo utajikita ktk kujadili namna teknolojia inavyoweza kutumika ktk kurahisisha huduma mbalimbali za jamii ikiwemo afya, mawasiliano nk
 
Maji safi ya kunywa bado ni tatizo kwa majority ya watanzania tangu uhuru,
hilo la Telemedicine ni rahisi kuliko hili la maji?

Hii inanikumbusha mgogoro unaoendelea Kenya hivi sasa, Uhuru kapanga kumpatika kila mwanafunzi laptop wakati walimu hawajalipwa nyinhgeza za mishahara na malimbikizo mengine kwa miaka mingi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
CD ya wimbo wa taifa ilipogoma MWAKAREBELA alifukuzwa,,Hii ya Clinton iliyogoma nani atawajibiswa
 
Komoro,swazland,bukinfaso,kenya,togo,uganda,botswana,zambia,algeria,namibia,lesotho,ni miongoni wa nchi ambazo marais na makamu wa rais wapo,pia kunamarais wastafu akiwepo mkapa,chisano nk na leo ni ufunguzi na utambulisho kesho majadiliano yataendelea.
 
si mda rais kikwete ambaye ndio mgeni rasmi atafungua rasmi mkutano huu
 
Jk akiwa mgeni rasimi na mwenyeji wa majadiliao hayo ndiyo anafungua rasmi sasa.
 
Back
Top Bottom