"Small House" inapokuwa Nyumba kubwa

ukiwa kigaloni lazima utakuwa na akili kamaz ako, cjui dharau cjui kitu gani na gani, na kwanini ukose mwanaume wako mwenyewe bac mpaka uje udandie wa wenzio? mwanamke mwenye staha zake hawezi kukosa mwanaume hata cku moja, wengine tulipotaka kuolewa walijitokeza wakaka wenye nia zao mtu unafanya kuchagua mwenyewe, ndio nakushangaa kama wewe utapataje mwanaume wa kuleweka na mitabia kama hii?

Kudadeki.........
 
unajua kuna wakati mtu hutakiwi kulazimisia mambo maishani, unayaanza tu kama yalivyo, ndio kama hapa ni kumuacha tu huyo baba aanze maisha yake upya, lakini wanaume jaamni, mie nasemaga mtu akipata mwanaume wa kumburuza na amburuze haswaaaa..

Hilo nalo neno shost unadhani,coz wao wakipata hiyo nafasi wanatupelekesha puta sana yani.
 
Nyie mlopata wanaume mnawadharau, wenzio wamekosa wanawatamani, unadhani ukimwachia nikimpata kuna kurudi kwako tena? Kama kweli wanaume ni wabaya kama wengine mnavyodai hapa, basi hata kwengine wakienda wasingedumu. Lakini hebu fikiri inakuwaje mke unadharau mumeo unasema mbaya kila kitu kibaya ni yeye, lakini mwenzio akimpata anasema huyu ndio mwanaume jamani nilikuwa wapi nisimpate hadi akapotelea huko anakodharauliwa.

Shost kila mtu atakula kwa wakati wake,nafasi ulipewa ukaichezea wenzako tunaitafuta usiku na mchana haya tukaipata unategemea nini,ni full maujuzi yani, hutoambulia hata dola 1 kwenye simu yako,mjini hapa jamani,mwenye nacho akitumie akikikosa asikijutie.
 
Ila hawa nyumba dogo tuseme kama kuna kozi fulani hivi huwa wanapitia? Maana mtu anaweza kuwa na maconfidence kweli kuwa mtu wake hawezi kwenda pembeni lakini akatokea mtu utadhani ana digrii ya kuvuruga mapenzi.. anamchukua kiulaini kama kumbusu mlevi hivi.. hadi mtu unashangaa.. "hivi baba nanii nimekukosea nini?" anabaki mtu kujiuliza!

Ngoma inakuja siku uione hiyo small house.. unaweza kujitia kitanzi hivi hivi...
 
ukiwa kigaloni lazima utakuwa na akili kamaz ako, cjui dharau cjui kitu gani na gani, na kwanini ukose mwanaume wako mwenyewe bac mpaka uje udandie wa wenzio? mwanamke mwenye staha zake hawezi kukosa mwanaume hata cku moja, wengine tulipotaka kuolewa walijitokeza wakaka wenye nia zao mtu unafanya kuchagua mwenyewe, ndio nakushangaa kama wewe utapataje mwanaume wa kuleweka na mitabia kama hii?

Go my dear, go!!!!!!!!!!!!!! I love this..........
hivi utajisifiaje kuwa spare? yaani unajua kabisa kwangu anakuja kupoozwa, kwa nini usiwe na wako kama wewe ni mpoozaji mzuri? yaani wanaokuona ni waume za watu tu? au mwenzetu upo kibiashara zaidi? shame on you Da sophy!
 
Hizo nyumba ndogo zimekaa kiwizi zaidi...................... na nyie waume zetu sijui mnafurahia kuibiwa? yaani unaona kabisa kuwa hapa naibiwa lakini unaenda tu. kuna rafiki zangu wakaka huwa wanasema wanafurahia ule wizi wa nyumba ndogo.............. kila kitu kinafanywa in excess
 
Gotta admit that am a little bit confused here!!!Who owns the two houses? who is nyumba kubwa and who is nyumba ndogo? Pls. help
 
ukiwa kigaloni lazima utakuwa na akili kamaz ako, cjui dharau cjui kitu gani na gani, na kwanini ukose mwanaume wako mwenyewe bac mpaka uje udandie wa wenzio? mwanamke mwenye staha zake hawezi kukosa mwanaume hata cku moja, wengine tulipotaka kuolewa walijitokeza wakaka wenye nia zao mtu unafanya kuchagua mwenyewe, ndio nakushangaa kama wewe utapataje mwanaume wa kuleweka na mitabia kama hii?
Baelezee mama,baeleweee!na pamoja na kuolewa na mipete mikuubwa bado wananume wanakufukuzia kama nzi hadi unagombana nao kuwa mi nna wangu jamyani.Kweli kila mtu ana desperation yake,ila muhimu kujiangalia wapi tunakosea.Manake wa mbili havai moja.
 
Hizo nyumba ndogo zimekaa kiwizi zaidi...................... na nyie waume zetu sijui mnafurahia kuibiwa? yaani unaona kabisa kuwa hapa naibiwa lakini unaenda tu. kuna rafiki zangu wakaka huwa wanasema wanafurahia ule wizi wa nyumba ndogo.............. kila kitu kinafanywa in excess
Sasa FP,kama wanawake wenyewe ndo tuko desperate namna hii mpaka mtu nasema ana shida ya mwanaume(kama bidhaa vile,loilz), lazima mwanaume akifika huko anakuwa kama anaangalia katuni.manake mwanamke atakuwa sio excess tena ni vituko. Hata kama ingekuwa wewe ungejionea senema tuu.Da Sophy mama kwa raha zako,ongeza mikakati uje utupe statistics ushanasa wangapi.
 
Shost kila mtu atakula kwa wakati wake,nafasi ulipewa ukaichezea wenzako tunaitafuta usiku na mchana haya tukaipata unategemea nini,ni full maujuzi yani, hutoambulia hata dola 1 kwenye simu yako,mjini hapa jamani,mwenye nacho akitumie akikikosa asikijutie.

jina ,Avatar na maandishi yako havifanani pole
 
U are jus sayin that kwa sababu wewe ndiye unayeiba,
Otherwise ingekuwa ni wewe unafanyiwa hivyo......
"mkuki kwa nguruwe....si unaelewa eeh"

No hard feelings......just mawazo!
Na wewe unasema hivyo kwa sababu hujakosa mume. Ungekuwa umekosa mume halafu wenzio waliopata wanawadharau na kila kwenye vikao vya upuuzi wanawasema vibaya wewe ungejisikiaje? Ni kama wewe umelala njaa halafu unamsikia mtu analalamika eti amechoka kula pilau kila siku! Namwambia hiyo uliyoichoka mwenzio naiomba! Mbona hata mitumba watu wanavaa na wanapendeza sana tu!
 
ukiwa kigaloni lazima utakuwa na akili kamaz ako, cjui dharau cjui kitu gani na gani, na kwanini ukose mwanaume wako mwenyewe bac mpaka uje udandie wa wenzio? mwanamke mwenye staha zake hawezi kukosa mwanaume hata cku moja, wengine tulipotaka kuolewa walijitokeza wakaka wenye nia zao mtu unafanya kuchagua mwenyewe, ndio nakushangaa kama wewe utapataje mwanaume wa kuleweka na mitabia kama hii?

Na wewe kwa mitabia yako kama hii kwa nini mwanaume wako asichukuliwe? Unanishangaa mimi? Jishangae wewe unayenyang'anywa tonge mdomoni! Ujanja kupata shosty siyo kuwahi, upo bibie?
 
Shost kila mtu atakula kwa wakati wake,nafasi ulipewa ukaichezea wenzako tunaitafuta usiku na mchana haya tukaipata unategemea nini,ni full maujuzi yani, hutoambulia hata dola 1 kwenye simu yako,mjini hapa jamani,mwenye nacho akitumie akikikosa asikijutie.

Wape wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao
 
Go my dear, go!!!!!!!!!!!!!! I love this..........
hivi utajisifiaje kuwa spare? yaani unajua kabisa kwangu anakuja kupoozwa, kwa nini usiwe na wako kama wewe ni mpoozaji mzuri? yaani wanaokuona ni waume za watu tu? au mwenzetu upo kibiashara zaidi? shame on you Da sophy!

Nishakuwambia tena kiingereza si mali. Na wewe unajisifia nini kuwa mtelekezwa, mpuuzwa, makapi? Kama na wewe unajua kupoza, kwa nini usimpoze mumeo? Umemshindwa siyo? Basi achia ngazi basi usitulilie hapa! Mwanaume anahitaji kupozwa kumbe ndani mwake ana jiko la mkaa babu masizi tu na mimoshi kelele mtindo mmoja mwanamke unategemea nini lazima bwana afungue dirisha apate japo hewa na huko ataona nje kuna nini. Umemfanyia vituko hadi kakonda, kaja kwangu kapendezewa mwanaume hadi afya imemkubali unaona wivu? Unalia wivu? Ungeujua wivu si ungemtunza basi naye akuenzi kama anavyonienzi miye? Imekula kwako shosty!
 
Go my dear, go!!!!!!!!!!!!!! I love this..........
hivi utajisifiaje kuwa spare? yaani unajua kabisa kwangu anakuja kupoozwa, kwa nini usiwe na wako kama wewe ni mpoozaji mzuri? yaani wanaokuona ni waume za watu tu? au mwenzetu upo kibiashara zaidi? shame on you Da sophy!

Nishakuwambia tena kiingereza si mali. Na wewe unajisifia nini kuwa mtelekezwa, mpuuzwa, makapi? Kama na wewe unajua kupoza, kwa nini usimpoze mumeo? Umemshindwa siyo? Basi achia ngazi basi usitulilie hapa! Mwanaume anahitaji kupozwa kumbe ndani mwake ana jiko la mkaa babu masizi tu na mimoshi kelele mtindo mmoja mwanamke unategemea nini lazima bwana afungue dirisha apate japo hewa na huko ataona nje kuna nini. Umemfanyia vituko hadi kakonda, kaja kwangu kapendezewa mwanaume hadi afya imemkubali unaona wivu? Unalia wivu? Ungeujua wivu si ungemtunza basi naye akuenzi kama anavyonienzi miye? Imekula kwako shosty!
 
Ila hawa nyumba dogo tuseme kama kuna kozi fulani hivi huwa wanapitia? Maana mtu anaweza kuwa na maconfidence kweli kuwa mtu wake hawezi kwenda pembeni lakini akatokea mtu utadhani ana digrii ya kuvuruga mapenzi.. anamchukua kiulaini kama kumbusu mlevi hivi.. hadi mtu unashangaa.. "hivi baba nanii nimekukosea nini?" anabaki mtu kujiuliza!

Ngoma inakuja siku uione hiyo small house.. unaweza kujitia kitanzi hivi hivi...

Afu mbaya zaidi hizo nyumba ndogo zenyewe zinakuwaga za ajabu......
ukimwangalia ukajiangalia na we mwenyewe unatamani hata ulie na kujiuliza mara mbili mbili alichofuata pale ni nini.....

Nyie wanaume lakini....... aaaaaagggggggrrrrrr!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom