Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
hahaha Mrs...kipo likizo, ukiona ivo we refresh tu kitatokea.....si naona leo msuko mwingine wa JF, sijui ndo yebo yebo ama twende kilioni? au haya mabutu?
Hommie Hii staili naona ni RElaxa! hahaha
hahaha Mrs...kipo likizo, ukiona ivo we refresh tu kitatokea.....si naona leo msuko mwingine wa JF, sijui ndo yebo yebo ama twende kilioni? au haya mabutu?
Ndiyo hivyo hakuna kosa lisilokuwa na matokeo. Mtu unamdharau mumeo unamuona hana maana kumbe wenzio wana shida wanamtamani unatarajia nini. Na huyo aliyekuwa na shida hivyo akimpata wa kumliwaza hamwachii ng'o, yani atamtunza kama lulu harudi tena alikokuwa kwenye madharau.
Alahu wakbar....mpwa umeamkia gesti gani leo tena?:confused2:
Mzee Mwanakijiji, wewe unapoibuka na thead kama hii humu jamvini, naamini there is more that what meet the eyes!. Nasubiri link ili niconnect the dots.Haya yametokea.. yalianza kwa huduma kwa nyumba ndogo na miaka ilipopita nyumba ndogo ikapanda cheo na kuanza kuwa nyumba kubwa..
Habari ndiyo hiyo.. sasa sijui kama ni fahari au aibu.
Wa ukweliii! sema!!Ni fahari kwa aliyepanda cheo na ni aibu kwa aliyeshushwa pengine kwa makosa yake mwenyewe na kujifanya kichwa ngumu wakati wenzie pia wanahitaji hiyo nafasi halo.
unajua kuna wakati mtu hutakiwi kulazimisia mambo maishani, unayaanza tu kama yalivyo, ndio kama hapa ni kumuacha tu huyo baba aanze maisha yake upya, lakini wanaume jaamni, mie nasemaga mtu akipata mwanaume wa kumburuza na amburuze haswaaaa..
Mwalimu kua makini na ushauri huu:becky:nashukuru kwa ushauri huu.......:smile-big:
Mimi hii kitu imekaa KISIASA zaidi labda atufafanulie,,,,lakini kwa hapa bado its kind of hanging ngoja aje MMM atuambie ana maana gani....given the current political situation....
nashukuru kwa ushauri huu.......:smile-big:
Mwalimu kua makini na ushauri huu:becky:
aa wapi....umburuze mtu kweli mwalimu wa watu?
unajua kuna wakati mtu hutakiwi kulazimisia mambo maishani, unayaanza tu kama yalivyo, ndio kama hapa ni kumuacha tu huyo baba aanze maisha yake upya, lakini wanaume jaamni, mie nasemaga mtu akipata mwanaume wa kumburuza na amburuze haswaaaa..
hahahaaa! da sophy hebu wape somo hawa wakina nyamayao!!Nyie mlopata wanaume mnawadharau, wenzio wamekosa wanawatamani, unadhani ukimwachia nikimpata kuna kurudi kwako tena? Kama kweli wanaume ni wabaya kama wengine mnavyodai hapa, basi hata kwengine wakienda wasingedumu. Lakini hebu fikiri inakuwaje mke unadharau mumeo unasema mbaya kila kitu kibaya ni yeye, lakini mwenzio akimpata anasema huyu ndio mwanaume jamani nilikuwa wapi nisimpate hadi akapotelea huko anakodharauliwa.
Umepotea njia kama kawa!apo unamsema Dr. au? mimi ameniboa, na pamoja na kwamba wansema hiyo ni private life yake, anakera. mtu mwenyewe ameshazeeka, mambo ya kitandani ya nini hata afanye hivyo? au papa alimbania sana kwa miaka mingi sasa anataka kulipiza kisasi?
Mh sometimes hamna dharau iliyotendeka wala nini na bado mtu anatoka kufata nyumba ndogo,
ni tamaa tu ya mtu binafsi, na mi nashindwa sana kuelewa pale mtu anapojijua kuwa yeye ni nyumba ndogo na bado
anaendelea kufurahia....imagine urself kama ungekuwa wewe ndio nyumba kubwa afu u find someone comes in between....
hahahaaa! da sophy hebu wape somo hawa wakina nyamayao!!
katika mtu wa mwisho wa kunipa somo bac ndio Da sophy.
Ndio mkome sasa na dharau zenu. Mtu unaolewa unampuuza kila mtu humo mpaka mumeo, angekuwa mpuuzi angekuoa? Sasa amepata anayemheshimu anafurahia maisha kama wanaume wenzake, ya nini kuteseka kwani ndoa nini bwana?
Nyie mlopata wanaume mnawadharau, wenzio wamekosa wanawatamani, unadhani ukimwachia nikimpata kuna kurudi kwako tena? Kama kweli wanaume ni wabaya kama wengine mnavyodai hapa, basi hata kwengine wakienda wasingedumu. Lakini hebu fikiri inakuwaje mke unadharau mumeo unasema mbaya kila kitu kibaya ni yeye, lakini mwenzio akimpata anasema huyu ndio mwanaume jamani nilikuwa wapi nisimpate hadi akapotelea huko anakodharauliwa.