eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,454
Hawajui maana ya slums wanapiga picha ya kanyumba kamoja, halafu wanasema hii ni slums...... picha ya eneo kubwa ndiyo inaonesha kama ni slum au unplanned settlements...... kwa watu wanoifahamu Makongo juu au survey (Mlalakuwa) wataelewa nina maanisha nini ninaposema Tz hakuna slums