Slums in Tanzania

sorry to bust your bubble...

In dar, people build good (real) houses without following the city master plan, mainly because of corrupt practices of officials at land ministry. However, this unplanned construction is no where near to the magnitude of your proper slums in kenya....

Kibera and mathare are known world wide...

Largest slums in nairobi:

30kenya.xlarge1.jpg

30kenya.large3.jpg

kibera-nairobi-kenya.jpg

hata bongo hakuna kitu kama hii!
 
hata bongo hakuna kitu kama hii!

Wewe hujatembea Tanzania Mkuu.

Twajivunia mitaa kama hii hapa chini. Kumbuka 70% ya urban settlement in Tanzania ni slums.

SLUMS IN TANZANIA

Poor sanitation situation, Tanzania by Sustainable sanitation, on Flickr

Pit latrine in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation, on Flickr

Sewage in the street in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation, on Flickr

Tandale 11July06 026 by Sustainable sanitation, on Flickr

DSCN0046 by markiliffe, on Flickr

and this is what 60% of the urban population looks like in Tanzania!!:A S 465::A S 465:
 
Eliakim ameeleza vizuri lkn sijui kwanini hatutaki kukubali ukweli! Hakuna Tz hakuna slums ya kulinganisha na kibera,kuna unplanned settlement! Na hata hizo pics za Tz alizotoa mwembetayari zinaonyesha poor sanitation na vipande vya nyumba!kiukweli Mwembetayari huwezi pata picha za slams unazotafuta,umeleta picha iliyopigwa kwa juu kuonyesha paa zilizochoka lkn ni nyumba za hali ya chini si mabox wala magunia ya kibera au mathare.
 
Tanzania hakuna pamoja na kuwa na makazi yasiyopangiliwa hakuna flying toilets za kibera!
 
Kwenye eneo lenye maji safi mpumbavu hufa kwa kiu! Hivi ni ugumu gani kusema kuwa sera zao za makazi zimeshindwa? au tunafikiria yanayotokea ni laana ya shetani?
 
Sasa wewe unajibu nini?
Mwenzio anaongelea "ukweli" kwamba Tanzania tuna shida ya makazi bora/mazuri - ambayo tungetaka tungeweza kuwa nayo! Wewe unajibu na kuringia uzuri wa sura - kitu ambacho wewe au mimi hatuna uwezo kukibadili.Uzuri wako hauleti maendeleo yoyote.Ubaya wao kama upo ( natia shaka sana kwenye hili maana uzuri uko kwenye macho ya muonaji) haujawakwaza kitu.
Usikimbie hoja - jibu hoja na hoja.Usishambulie kwa kutukana.
 
Slums siyo tu ujenzi holela kutokuwepo mfumo wa maji safi na maji taka ni sifa ya mojawapo ya slums. Leo hii nyumba ngapi mijini mwetu hasa viungani inayo maji ya hukika? Mbaya zaidi tunategemea visima vilivo chimbwa sehemu zilokuwa na mkusanyiko mkubwa wa vyoo vya shimo na soak pits. Maji haya salama kweli?
 
Eliakim ameeleza vizuri lkn sijui kwanini hatutaki kukubali ukweli! Hakuna Tz hakuna slums ya kulinganisha na kibera,kuna unplanned settlement! Na hata hizo pics za Tz alizotoa mwembetayari zinaonyesha poor sanitation na vipande vya nyumba!kiukweli Mwembetayari huwezi pata picha za slams unazotafuta,umeleta picha iliyopigwa kwa juu kuonyesha paa zilizochoka lkn ni nyumba za hali ya chini si mabox wala magunia ya kibera au mathare.

Wengi wenu mumejawa ushabiki. hamna lolote la maana watu wanaeza digest. Hivi huoni matatizo za amza slums and I guess kuna nyingi tu i.e. slums zimetapaka kote kwenu. Zote slums zenu zikaunganishwa combined zitakuwa kubwa kuliko kibera. Kibera kuna flying toilets Mwembe tayari amekuwekea picha za vile mafuriko zime submerge three quarters of the houses. Watu walilala wapi? Tuseme Serikali ikakuwa na plan ya kubomoa hizo nyumba for improvement where will those people go My dear.

Its like a Maze kwa maana nyumba zimepakana hakuna cha siri.
 
Tanzania yetu hii hapa,

Karibu Asilimia 70 ya makazi hapo Tanzania ni makazi duni. Kujaribu kuficha taka, haileti haki na manufaa hata kwa mwananchi wa Kawaida. kitamaduni, vyombo vya habari wanajukumu ya kuleta mbele picha za kushtumu serikali ikiwa inazembea na pia kupevusha watu. Serikali Ina kazi ya ziada .Na vyombo vya habari naona haziko huru vile kujaribu kokosoa jamii na uvundo ulioko ndani yake
 
wote vipofu mwachekana hakuna mwenye unafuu. kazaneni mbadili hayo makazi.
 
Sasa wewe unajibu nini?
Mwenzio anaongelea "ukweli" kwamba Tanzania tuna shida ya makazi bora/mazuri - ambayo tungetaka tungeweza kuwa nayo! Wewe unajibu na kuringia uzuri wa sura - kitu ambacho wewe au mimi hatuna uwezo kukibadili.Uzuri wako hauleti maendeleo yoyote.Ubaya wao kama upo ( natia shaka sana kwenye hili maana uzuri uko kwenye macho ya muonaji) haujawakwaza kitu.
Usikimbie hoja - jibu hoja na hoja.Usishambulie kwa kutukana.
hapa ndipo wengi tujichanganya na tz yetu kama tulivyoaminishwa!

Angalia nyumba zilizojengwa kwenye miji mingi ya Ulaya na Marekani katika makazi ya watu wa kati, thamani yake sio kubwa sana bali kinachofanya zionekane kuwa juu sana ni mipangilio ya mazingira ya hizo nyumba. Kila structure inafikiwa na barabara nzuri (ya lami), hawachoti maji kwa jirani, na kikubwa kabisa kunakuwa na bustani hata ndogo ya miti.

Kwa hiyo mbali na hiyo mipangilio ya makazi hakuna jina lingine unaloweza kuita haya maeneo, SLUMS ndio naona ni sahihi!

Very true Look at those houses and the sad part is it is over 75% of Tanzania's urban population na serikali haifanyi lolote!
 
If you understood the article correctly, in Dar people construct good houses in unplanned areas...

But, dwellings in Kibera and Mathare are not worthy to be called houses they are shacks....:A S-coffee:

Btw, Tuune is old news it was Africa's first (in 2007) and i earn good $$$ on royalties...good for googling me though....:A S-coffee:

Bantugbro! There is another slum in Kenya I hope you have no idea about it! It is located in Kawangware. In facts our slums are better of those in Kenya. And those beautiful houses uploaded here by that guy from Kenya they are vacant coz the slum dwellers in Kibera refused to vacate their area beacuse they are fond of flying toilets!! Ha ha ha ha haaaaaa!!
 
Kwenye eneo lenye maji safi mpumbavu hufa kwa kiu! Hivi ni ugumu gani kusema kuwa sera zao za makazi zimeshindwa? au tunafikiria yanayotokea ni laana ya shetani?

Sisi Waafrika bana viumbe wa ajabu sana wakati jamii nyingine wanaungana kutatua matatizo sisi tunashindana nani maskini zaidi kuliko mwenzake!

Ndio maana mimi kila siku nasema huu utamaduni wetu hauwezi kutoa kiongozi ambaye anaweza kututoa hapa na kuungana na wenzetu wengine Duniani, kwa maana wote tumelelewa hivyo matatizo yametuzunguka lakini tunasubiri mwingine aje ayatatue, mtu yuko tayari aishi mbele ya dimbwi la maji ya choo, kisa Dawasco hawatengenezi!
 
Back
Top Bottom