Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Aahhaahaaa... Dear hizi ni slow love songs? Nimecheka sana. Thanks..
nilitaka nikuite kumbe ushafika
Aahhaahaaa... Dear hizi ni slow love songs? Nimecheka sana. Thanks..
Aahhaahaaa... Dear hizi ni slow love songs? Nimecheka sana. Thanks..
msaada wa link tafadhal maana nautafuta naukosa
nilitaka nikuite kumbe ushafika
yes...they are kinda slow.
Kwa wale wa nyimbo za taratibu na romantic tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii.
See ya by Atomic Kitten ndio wimbi unaoimba kwenye playlist yangu sasa
Karibuni
if u were mine!
i'll be u'r everything
and u'll be the only thing
that i would ever need
if u were mine!
i'll tell everyone
that u ar the onl one
that i could ever want
!!ooohh yeeaaah!! ........
to be continued.....
Oooh yeah
Everything I dreamed about
Everything that I talked about
One thing I can't live without
I wanna get closer to you
Can't stand being far away
Knowing that you don't feel the same way
Watching him bring tears to your eyes..........
Kuna wakati nilikuwa addicted hata game nkitaka nipige kwa hisia na manzi a-enjoy ilikuwa ni lazima niweke hizo yaani ilikuwa no way... maana hata moving, mauno ilikuwa ni thru beats za Slows na zile maneno za mule! ila kuna muda nilikuwa naenda off beat kwa ajili ya mkoleo na kuongeza speed pushing!
Binafsi nyimbo za slows ndio zimezunguka maisha yangu...
Some of my favourite:
1. Love is always on our side again-Julio Iglesias
2. Lean on me -Michael Bolton
3. All Cried out -Allure
4. Dont leave-Black street
5. Someone to Love- Ruff ends
6. Please forgive me- Bryan Adams
7. Writen in the stars-West life
8. Puzzle of my heart-Westlife
9. A whole new word (Theme song ya Aladin animation) ya James peabo.
10.Hard to say goodbye-Celine dion &Paul de anda
11. Kissed by a Rose - Seal
12 Tender Love - Force MD
13. Tenderness - Diana King
14. When you say you Love me - Julio Igleasias ft Dolly Parto.
15. First Love - Boys 2 Men
.... And the list continues.
Nikiweka hizi ngoma napiga mashine gia Dar Kigoma non Stop execept for food and drinks.
Una Nyodo - Mzee Yusuf
Aiseee.Mhhhmmm Na huu pia ni love song ... Thanks..