Slow Love Songs Fans

Slow Love Songs Fans

Mie hata kama wimbo haunikumbushi chochote, ila nikiwa lonely au na stress zangu basi ka wimbo kokote kaslow kanaweza kunirahisishia kutoa machozi teh

Nikukute kwenye hali hiyo nakupa bega utulize kichwa plus hand chef nyeupe ufutie vijikamasi..mi siongei nakuanakupet pet mgongo tu...lazima utulie.
 
sio hizo..hizo tulishafanya 0'level...zile za ndani ya mahusiano..sio unakuwa mpole hadi kero...mtu anakukosea lakini ww ndo unaomba msamaha..mwenza wako amechepuka ww unajifungia chumbani unaomboleza mwezi mzima..inabidi unakuwa nazo zile ili mwenza wako awe na nidhamu kidogo(hata kama ni ya uoga,potelea mbali)..ili hata akiwa anataka kufanya upuuzi anafikiria mara mbili..kwamba wife/husband akijua itakuwa utata
Aaah kumbe hivyo. Mie mvumilivu kidogo afu mtata fulani hivi amazing . Nikiudhiwa napenda kulia wee ila siku nikichoka mmmh utahisi labda upo ndotoni kwa nitakavyokubadilikia. Ujue na mimi na binadamu, sio muda wote ntakuwa najishusha, kuna muda na mimi ntajikuta kaukorofi kamenivaa. Teh ila hasira zikituisha, tukae chini tuongee na mahaba yaendelee
 
Nikukute kwenye hali hiyo nakupa bega utulize kichwa plus hand chef nyeupe ufutie vijikamasi..mi siongei nakuanakupet pet mgongo tu...lazima utulie.
Mmh yani najitahidigi nisilie mbele ya mtu aliyeniudhi, nahisi atanionaje sijui. Ingawa me hata niwe kwenye daladala naweza nikaanza kulia bila hata aibu teh, ila ntainama kwenye seat niact as If nimesinzia
 
I'm doin just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you In my life
I'm just doin fine
Time made me stronger
You're no longer in mind........

Hapa lazima mtu alie!....This is the most grief breakup song for the 20th century!
 
Muda wa kula tunda la eden kama na hiz nyimbo zikiwepo huwa nahis raha Mara mbili lakin nishaikubali hii hali ni miaka 12 ya ndoa nishazoea,

Hehehehee umenifurahisha saana. Polee. So! Yeye anaweka bongo flava au kimya kimya tu kama J Mo?
 
Aaah kumbe hivyo. Mie mvumilivu kidogo afu mtata fulani hivi amazing . Nikiudhiwa napenda kulia wee ila siku nikichoka mmmh utahisi labda upo ndotoni kwa nitakavyokubadilikia. Ujue na mimi na binadamu, sio muda wote ntakuwa najishusha, kuna muda na mimi ntajikuta kaukorofi kamenivaa. Teh ila hasira zikituisha, tukae chini tuongee na mahaba yaendelee
we sio mtata..unaonekana laini sana lol..
 
we sio mtata..unaonekana laini sana lol..
Mmh kuna watu wakiona hii comment wataandamana kwa kichura chura hahhaa. Me sio mpole kabisa, na hata nikiwa cool, sura langu tu litakwambia "huyu ni mtu wa matukio" teh teh
 
Mmh kuna watu wakiona hii comment wataandamana kwa kichura chura hahhaa. Me sio mpole kabisa, na hata nikiwa cool, sura langu tu litakwambia "huyu ni mtu wa matukio" teh teh
hahaha!!! hayo maandamano nimeyapenda gafla..nwei ngoja nikubali..japo saikolojia yangu inagoma
 
"Tell him" by Celine Dion is real life story. Sikiliza kila neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom