Slow Love Songs Fans

Slow Love Songs Fans

Huu je?

Nina Mpenzi Wangu Kibamba - Kungubaya

Unaujua huo?

Ahaaaaa wewe kwa mipasho sikuwezii aaahhhaaa . Haya nakupa slow jam nyingine from Mwanahela ( Golden Star) now ni Rabi usinipe Mapenzi.... Thanks...
 
So let me be the one and only
Can I be your friend and homey
I'll be a better man
I'll be a better man, I'm ready
Got no time for stories
No time to be acting funny
And I hope you understand
I will give you no regret and I swear

If you are my girl
I'll take you around the world.....
Uwiiiiiii jamani huu wimbo mtamu mpaka kumoyo!Mtu ukipewa dedication au kuimbiwa unaweza hisi unapaa!
 
teh teh...basi we hufai..inabidi uwe na tashtiti japo kidogo

Hahaha ukiniona nina tashtiti ujue basi still Nipo obsessed na huyo mtu. Mie nafanya vitendo, siongeagi bana.. Yani nikimove on namove on kweli kweli, huo muda wa kukuringishia sina
 
duuh..we kweli van damme..
 
kwenye mahusiano kabla ya ndoa easy kumove on..ukishaingia kifungoni inakuwaje?
Generally kumove - on sio kazi ndogo eti. Umeishi na mtu vizuri, he/she became your better half, umemuamini, mmependana, mmezoeana, he/she is the best part of your day.... Afu all of a sudden eti uanze kumchukulia as a total stranger, kama hamjawahi kuwa wapenzi vile... hainaga uzoefu. Afu ukute ndo mmeachana stage ya kukaribia na ndoa kabisa, ni Utadata kwa kweli. Ingawa before ndoa, ukibreak up na mtu, afu ukaja ukampata mtakayependana kwa dhati, possibility ya wewe kutokukumbuka yale maumivu ni kubwa

Mmh kwenye ndoa nahisi inakuwa ngumu zaidi. Mmeishi pamoja, possibly mmeshazaa na mnakuwa mmeshare mengi zaidi. Ile mmetengana au watoto labda Kila dakika wanakuuliza "mama, baba yuko wapi? Au ushazoea kuitwa "Mrs A" its so heart breaking. Ila mwisho wa siku tunaamini time is the best healer, so eventually maumivu yanapungua ingawa kusahau ni issue nyingine tena. Kuna Vitu vingi tu vya kukukumbushia ndoa yako, like ukiangalia watoto wenu, viapo vyenu vya ndoa ( till death do us apart) au ile huruhusiwi kufunga ndoa nyingine tena etc
 
sure..u r right..hapo kwenye ndoa ndo utata zaidi..u dont need to fall quick out of love..inabidi ufight kidogo sumtymz kulinda penzi..ndo mana nikasema tashtiti kidogo inahitajika sumtymz..
 
Aah basi me tashtiti nikadhani ni vile mmeachana afu unaanza kumringishia ex wako na vi status vya vijembe au songs like "I bet" ya ciara teh.

Mahusiano yoyote hata urafiki wa kawaida lazima uvumilivu uwepo. Coz hakuna mkamilifu, tumeumbwa na mapungufu na pengine tunajikuta tu tunakosea. usipokuwa mvumilivu na ukajifunza kusamehe na kuchukulia wenzio kwa madhaifu yao, basi u will just end up being alone.

Kama unavyoomba watu wakusamehe once ukiwakosea au unatamani wakubebe hivyo hivyo na madhaifu yako, ndivyo ambavyo inabidi uwatreat na wenzako. Kuvumiliana ni lazima, ila tusitake for granted uvumilivu wa wenzi wetu. Coz ikitokea wamechoka, ndo tutakuwa tumewakosa. Kwa hiyo tutagombana, tutanuniana, mawasiliano yatapungua kidogo... but still tunaweza kukaa chini na kusolve matatizo yetu. Sio mmegombana tu kidogo, ndo unakimbilia kuachana mmmh itakucost
 
sio hizo..hizo tulishafanya 0'level...zile za ndani ya mahusiano..sio unakuwa mpole hadi kero...mtu anakukosea lakini ww ndo unaomba msamaha..mwenza wako amechepuka ww unajifungia chumbani unaomboleza mwezi mzima..inabidi unakuwa nazo zile ili mwenza wako awe na nidhamu kidogo(hata kama ni ya uoga,potelea mbali)..ili hata akiwa anataka kufanya upuuzi anafikiria mara mbili..kwamba wife/husband akijua itakuwa utata
 
I don ever wanna see you again - uncle sam
When a woman's fed up - rkelly
Hands tied - Toni Braxton
Too old for me - Jerome childers
The one - Tæmar Braxton
Freak like me - adina howard
Andrada - koffi olomide
Si si si - koffi
Rangi ya chungwa -
Nimekuchagua wewe - barubi
Tatizo umaskini - vumi
Aladji - jeff balabalango****
Kukere - iyanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom