Slow jams - pini ipi ilikubamba

The secret garden---- quincy jones
Summer in the city---- quincy jones
 
Naona wazee kina dre diddy 50 cents wamekuja na mashups mbili tatu kurudisha enzi zao ngoma zimetulia vijana wamezikubali
 
Huyu jamaa dupri alikuwa anamuwezea pia mariah carey beats zake 🔥🔥🔥
 
Huyu jamaa dupri alikuwa anamuwezea pia mariah carey beats zake 🔥🔥🔥

Dupri ni legend mkuu. Kwa kumbukumbu zangu amewafanya watu kibao washinde Grammy including Lil Kim, Monica ngoma ya Monica & Brand "The boy is mine" ni mkono Dupri. Pia ameproduce debut album iliyowatambulisha Destiny Childs. Ni legend wa muda wote pia ni rapper na industry ya muziki ya U.S na dunia inamuheshimu sana huyu jamaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…