Slow jams - pini ipi ilikubamba


Take a message to mary- everly brothers

Busted-isley brothers[emoji1487]
 
Hiyo nyimbo ya frankie naipenda sana kama inatia huruma fulani [emoji2]

Beat ame sample nyimbo ya isaac hayes the look of love
So Frankie nae alisample?

Dah ile ngoma imetulia sana. Nakumbuka naicheki miaka ya 1997 kama sio 1998 ITV siku ya nyimbo za R&B.

Dah jamaa nimemkubali sana katika ile song. Anambembeleza mtoto wa kike amuelewe. Ujumbe wake unakuja kama Benpol Nikikupata.
 

Yes ile beat ni sampled

Nyimbo poa sana..
 
Hiyo nyimbo ya frankie naipenda sana kama inatia huruma fulani [emoji2]

Beat ame sample nyimbo ya isaac hayes the look of love
Kilichosaidia R&B ya miaka ya kuanzia 1990 kuja early 2000 kuwa na the best artists na best songs of all times ni wao kurejea nyimbo za zamani na kuzifanyia sampling na kuziboresha na kuweka vionjo vyao na kuifanya iwe best.

Hii inasaidia sana katika creativity sababu unaanzia pale alipoishia aliyekutangulia kisha wewe unaboresha lazima ngoma itoke bomba. Hawa wa miaka hii wanafosi kujifanya wabunifu matokeo yake wanatutengenezea nyimbo za hovyo ambazo hazina hata ubora zaidi ya kelele nyingi.

Ukitazama nyimbo za era ya 1990 to 2000 earliest nyingi ni hit after hit. Na haikuitaji promo kuzifanya kupata wasikilizaji. Sisi wasikilizaji ndio tulikuwa tunazisubiria kwa shauku kubwa sana. Na zikitoka inakuwa si mchezo. Unapewa taarifa album inaandaliwa 2 years ndipo inakuwa released.
 
Yes ile beat ni sampled

Nyimbo poa sana..
Nimeenda isikiliza. Actually amechukua kisehemu tu cha beat. Halafu yale mapigo ndio kayafanya ndio yamekuwa beat nzima.

Na Ashanti ndio kama ameisample ya Frankie kwa asilimia kubwa ni kama amecopy na kupaste yote. Ila uneona sasa zote zimetoka kali.
 

Sawa sawa kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…