I miss you - AaliyahMarc Anthony- i need you
Early 2000’s
Naona huo haupo eti😔Sikiliza
Good Enough - Bobby Brown
Wanawake nao mbona walikuwa 🔥🔥🔥Nilichogundua.. ni kwamba watu wengi wanapenda nyimbo za Male artists kitu ambacho kwa miaka hiyo Male artist waliwika sana kwenye makundi yao..
Ila for me Slow jamz kali top 10 kuanzia 1_7 ni female artists..
Wanajua wanachokifanya.
Hujawahi niangusha kwenye maswala ya nyimbo pisikaliSijapata quality nzuri
View attachment 2627037