PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,328
najua vina hari ngumu sasa hivi, kutokana na anguko la soko, kwasababu ya covid-19Wakuu kwema? ... Kabla ya mada yangu napenda kuwakumbusha kuwa tayari Corona iko Tanzania hivyo tuchukue tahadhari stahiki.
Tukirudi kwenye mada; Slay Queens ni wasafi, wana lugha tamu, wanajua kucheza na wanajua kupangilia mavazi. Pongezi kwenu slay Queens, hakika mnanipa raha sana. Shilingi zangu mtakula sana.
View attachment 1398777
Sent using Jamii Forums mobile app