dumejm
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,180
- 861
Picha ya demu wangu umeitoa wapi [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Za hivi hazifungukiWakuu kwema? ... Kabla ya mada yangu napenda kuwakumbusha kuwa tayari Corona iko Tanzania hivyo tuchukue tahadhari stahiki.
Tukirudi kwenye mada; Slay Queens ni wasafi, wana lugha tamu, wanajua kucheza na wanajua kupangilia mavazi. Pongezi kwenu slay Queens, hakika mnanipa raha sana. Shilingi zangu mtakula sana. View attachment 1398777
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya demu wangu umeitoa wapi [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Matata?Yupo mmoja hivi anapenda sana kuanzisha maongezi yake binafsi na watu wake kwenye nyuzi za watu hata hii atavamia utamfahamu tu
Yupo mmoja hivi anapenda sana kuanzisha maongezi yake binafsi na watu wake kwenye nyuzi za watu hata hii atavamia utamfahamu tu
Kweli kabisa aisee! Sema tu wanazingatia sana muda wa appointments pia. Tunakwenda kizungu.
Huyu nimemtafuna alivyokuw form 3
doh