Kamiliza Alhaji Rage kwa TVsi mtani wa jadi sasa kwa nini asiseme ukweli bana! hivi huyo Mbuyu twite mlokuwa mnashangiliiiiiiiiiiiiiiiiia sijaona chochote alichofanya ambacho kimezidi zaidi ya wabongo!
Mwanamke anae ridhishwa na mwanamke mwenzie kimapenzi akili zinahamia kwenye mpododo
si mtani wa jadi sasa kwa nini asiseme ukweli bana! hivi huyo Mbuyu twite mlokuwa mnashangiliiiiiiiiiiiiiiiiia sijaona chochote alichofanya ambacho kimezidi zaidi ya wabongo!
Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?
Mlimkuwa mnamgombea ili akatupie au akazuie kina Felix, Javu wasitupie? Naona sa hivi anashindana na Bahanuzi kutupia magoli.Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?
who's slama jabiri?