polymer0108
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 123
- 22
ccm wenzangu wapendwa jamani tupeni hoja za mashiko.Tunakaria majungu ya padri,mzinzi sisi uku kwenye mikutano tukiviongea tunazomewa.Jamani leteni hoja nasisi tujifunze tuitetee ccm yetu sio majungu
Huyo hana tofauti na Yuda Eskariote!
Wewe umepote njia angalia mchango wako ndo utajua akili yako, unaenda mbele unarudi nyuma sijui umepuliza kidogo nini?
Roman Catholic ipi unayoijua wewe ? Porojo ni jambo baya sana na hasa zikiwa kwa maandishi ......
najua kitengo cha propaganda makao makuu ccm mnatuchanganya,padri,mzinzi hii inatuchanganya sisi tulioko uku pembezoni.Kwenye vikao tunalalamika tubadilishe hizi.ccm wenzangu leteni masuara issues na sisi tujifunze.Ccm imetekwa na vibaka By makongoro
Kweli mkuu, binafs nimeshuhudia ccm wakizomewa sana kwa kukosa hoja za msingi ila wamejazwa personal issues ambazo hata wa kuzithibitisha n mungu pekee.
Nape na team yake inabd awafunze upya, itafikia hatua mtaonekana vilaza wa kufikiri.
Cc mali si pesa
Aanze kukata kwanza mirija ya ufisadi wa chama chake kwenye Ruzuku wanayopewa na serikali ya CCM ndo ahanie kwingine wee vp?
Mahayani wengi nchi hii ruzuku inatokana na kodi za wananchi ccm wanapokea ruzuku kama vyama vingine acha ujinga, kama kuna shida kwenye chama chake na vyombo vya usalama vya serikali ya CCM vimeshindwa kuwakamata na kuwapeleka mahakamani ujue ni serikali dhaifu inayopaswa kuondolewaAanze kukata kwanza mirija ya ufisadi wa chama chake kwenye Ruzuku wanayopewa na serikali ya CCM ndo ahanie kwingine wee vp?
Hizi ni fikra za watu waliougua kwashikoo na unyafuzi, Dr Slaa ni binadamu kama binadamu wengine wana utashi alitumikia upadri alipoona ametosheka akafuata taratibu za kanisa akaacha na kuendelea kufanya yale ayapendayo , kama binadamu wengine ambavyo wamebadilisha kazi au shughuli zao kadri matakwa yao walivyotaka ni change of jobAngekua kamanda na mwanamapinduzi mbona kakimbia upadre si kwa sababu sheria zilimshinda akakalia kuendekeza michepuko teh teh teh na awamu hii Oktoba nawaambia mjiandae kususia sherehe ya kuapishwa Rais mpya uwanja wa Uhuru, aaaa nimesahau nyie mtaanza kususia kwenye utangazaji wa matokeo ya Urais kama ilivyokua 2010.
UKAWA wajidhatiti wapiga kura wajiandikishe ili wapigiwe kura. Maandamano bila kujiandikisha ni kazi bure.
taifa letu linahangaika kuzuia baadhi ya wanyama ambao ni big five kutoweka....linasahau kuna mwingine mhm sana wa kumlinda...Dr silaa ni hazna kubwq sna na duniani wqnatoweka kwa kas xn
Lumumba na mchepuko wake wakilisikia Jina Dr.Slaa wanapatwa na kihoro na hofu kuu.......
Kwani wewe Mnyonge hoja yako hapa iko wapi kama sio siasa tu?Tujenge hoja kinzani hoja dhaifu hazina afya humu ndani. Tuwape elimu watanzania wanufaike na mitandao ya kijamii.
Mafisadi mabazazi na majambazi wa mali za umma CCM utawalinganisha na nani kwenye UKAWA tangu Enzi za EPA Richimond, ESCROW mwana ukawa yupi alikuwemo mwana CCM yeyote anayewania uraisi ni fisadi tu listi ya wote waliotangaza so far mafisadi watupu hakuna mwenye rekodi safi hata waoshwe kwa jiki mafaili yao yapo wazi muda na wakati wagonjwa wapewe mikanda yaoTumika tu muulize ile ndoto ya 2010 kama kaisahau, na this time CCM wana hasira na nyie kisa mmejiunga UKAWA wana makombora ya kuwapiga kwa mpigo na mtakufa kwa pamoja kisha wanawatawala milele! Teh teh teh ni sheedah sipati picha mna yoweweseka mkiwasikia CCM
Tupia clip hapa wakiwa wanazomewa ili tukuunge mkono kamanda maana JF IMEBADILIKAMkama huna ushahidi usikurupuke aisee!
ccm wenzangu wapendwa jamani tupeni hoja za mashiko.tunakaria majungu ya padri,mzinzi sisi uku kwenye mikutano tukiviongea tunazomewa.jamani leteni hoja nasisi tujifunze tuitetee ccm yetu sio majungu