Smartboy
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 1,110
- 128
huyu jamaa kweli snitch mbona kuna picha ya Jk mama salma na Pope Benedict 16 wamekaa pamoja, au hapa Jk alikuwa mkatoliki. Mtoa mada unabeef na wakatoliki ila hoja yako haiwezi kuzima harakati za kudai mabadiliko. Hizo hoja wapelekee kina Basale ndo wanapenda kuzichambua, takbiravatar yakomtoa mada anaoneka sio mpenda ukristo , avatar umeweka ya nyerere na papa (mkuu wadini yake alipokuwa hai) kwa maana nyingine uwezi kuwa na mawazo ya kujenga hapa una misingi yako ya kutopenda ukristo kwama maana hiyo hata kama hii ya CDM NA CDU iwe safi au mbaya wewe itakuwa MBAYA tu MODS hii ifutwa mtoa mada ana vita ya kidini hata profile picha yako nayo unaonyesha bado una mambo hayo kama hii itaruhusiwa kwa kisingizio chochote sijui inaleta matiki yeyote