Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikatoliki

Status
Not open for further replies.
avatar10026_7.gif
avatar yakomtoa mada anaoneka sio mpenda ukristo , avatar umeweka ya nyerere na papa (mkuu wadini yake alipokuwa hai) kwa maana nyingine uwezi kuwa na mawazo ya kujenga hapa una misingi yako ya kutopenda ukristo kwama maana hiyo hata kama hii ya CDM NA CDU iwe safi au mbaya wewe itakuwa MBAYA tu MODS hii ifutwa mtoa mada ana vita ya kidini hata profile picha yako nayo unaonyesha bado una mambo hayo kama hii itaruhusiwa kwa kisingizio chochote sijui inaleta matiki yeyote
huyu jamaa kweli snitch mbona kuna picha ya Jk mama salma na Pope Benedict 16 wamekaa pamoja, au hapa Jk alikuwa mkatoliki. Mtoa mada unabeef na wakatoliki ila hoja yako haiwezi kuzima harakati za kudai mabadiliko. Hizo hoja wapelekee kina Basale ndo wanapenda kuzichambua, takbir
 
Kama ilivyo vigumu kutenganisha UFISADI na CCM na UISLAMU
Tumekupata Mkuu, kwa hiyo Chadema ni Chama rasmi cha Wakiristo wote na ndio maana mmeamua kushirikiana na Chama cha Kikiristo cha Ujerumani (CDU) tunashukuru kwa uchambuzi wako murua
 
Mtoa mada naona umebugi hii hoja mpelekee Nape anaweza kukushukuru sana manake anapenda mada kama hizi au peleka gazeti la Al-nuur, redio kheri na Iman au kipindi cha Al-sala chanel ten, wanapenda mada kama hizi na itapewa uzito mno. Ila hapa sidhani au hujui maana ya Great thinkers. Humu watu wanauelewa mkubwa sio rahisi kuwadanganya na siasa za maji taka. Yaani hii hoja yako haina mashiko hata kidogo ipeleke hayo maeneo itakuwa dili mno. Cdm sio mchezo
 
Kama ilivyo vigumu kutenganisha UFISADI na CCM na UISLAMU
Kila chama kina muonekano wake kwenye jamii ukweli wa muonekano hujionyesha kwa matendo ya vyama husika mfano kuna chama kinalalamikiwa kuwa kimejaa wanasiasa mabepari wenye uchu wa utajiri, kipo chenye harufu ya ukabila na upendeleo kwenye viti maalumu sambamba na la udini pamoja na hadaa kwa wananchi ili ku win popularity. Chama hiki kimefanikiwa kuwaingiza mkenge wakaazi wa Arusha na sasa hivi wana hoja ya kupinga viposho vya shilingi elfu sabini huku wakikaa kimya kupinga viinua mgongo vikubwa vya wabunge wanaotumikia miaka mitano! Na watu wanashangilia na kutoa sifa lukuki bila kutambua kuwa ni mbinu za kisiasa. Ni vema ifike mahali tuangalie mienendo na hadaa za vyama hivi
 
Mkuu ustaarabu upi? Wa kuzini na kuzaa mpaka watoto wanakuwa wakubwa kisha mnabariki ndoa? Au ule wa kutumia karatasi maliwatoni? Hujaweka wazi ustaarabu unaouzungumzia. Tena kuhusu hilo naweza kusema kwa kinywa kipana kwani ushahidi upo kuwa kuna kiongozi padre ndani ya chama amezaa na mwanamke bila kumwoa akamtema na sasa yule aliekuwa nae ameshamtundika mimba bila kumwoa huu ndio ustaarabu unaouzungumzia? Ni vema uwe wazi ili tuujue huo ustaarabu. Au unataka kusema ustaarabu wa kuanzisha mashirika kama save the children huku wazazi wao wakifa kwa majanga ya ukimwi na uasherati kwa kuwa tunabariki ndoa baadae kwanza inakuwa ni uzinifu? Kwa ustaarabu huo mie bora nisistaarabike.
Sokomoko & ritz tayari ni muslim radicals!naona al-Qaeda wameshapenyeza mizizi yao Tanzania!nchi hii ina matatizo mengi tu sasa hivi ya kuwa addressed lakini nyinyi mnakomaa na wakatoliki wakatoliki ...mara nyerere(mkatoliki ) alikuwa mdini, mara padre slaa mdini...mara chadema wadini! Hivi nyinyi nani aliyewafumba macho mpaka msione matatizo ya nchi hii ila dini za wakristu tu? Ukatoliki mlikuta na mtauacha hapa duniani ukiwa imara zaidi! Watu kama nyinyi mnatakiwa mpelekwe huko Guantanamo mkakae na ma terrorist wenzenu kama yule Ahmed Khalfan Ghailan !
fu***ng dumbas*es!!
 
Mtoa mada naona umebugi hii hoja mpelekee Nape anaweza kukushukuru sana manake anapenda mada kama hizi au peleka gazeti la Al-nuur, redio kheri na Iman au kipindi cha Al-sala chanel ten, wanapenda mada kama hizi na itapewa uzito mno. Ila hapa sidhani au hujui maana ya Great thinkers. Humu watu wanauelewa mkubwa sio rahisi kuwadanganya na siasa za maji taka. Yaani hii hoja yako haina mashiko hata kidogo ipeleke hayo maeneo itakuwa dili mno. Cdm sio mchezo
Na wewe ni great thinker? Shukran kwa kunijuza cdm si mchezo
 
sokomoko inaonyesha mafanikio ya cdm yanakupa wakati mgumu sana. Samahani ila kwa kusoma tu hii makala inaonyesha we ni muislam unabisha?
Mkuu mafanikio yepi? Ya kusababisha watu watatu wapoteze maisha na kupewa unaibu umeya ndio unaita mafanikio? Au kuungana na CDU? Kuwa wazi wewe ni smart bwana usiwe kama damb! Yes mimi ni mwislam Alhamdullilah nafuata yale aliyoyaleta Musa na Yesu akayasisitiza kuwa hakuja kuyabadili ila kuyatekeleza ndio maana mimi na wenzangu hatuna kubariki ndoa wala kutumia karatasi tunapoenda haja kubwa.
 
Kila chama kina muonekano wake kwenye jamii ukweli wa muonekano hujionyesha kwa matendo ya vyama husika mfano kuna chama kinalalamikiwa kuwa kimejaa wanasiasa mabepari wenye uchu wa utajiri, kipo chenye harufu ya ukabila na upendeleo kwenye viti maalumu sambamba na la udini pamoja na hadaa kwa wananchi ili ku win popularity. Chama hiki kimefanikiwa kuwaingiza mkenge wakaazi wa Arusha na sasa hivi wana hoja ya kupinga viposho vya shilingi elfu sabini huku wakikaa kimya kupinga viinua mgongo vikubwa vya wabunge wanaotumikia miaka mitano! Na watu wanashangilia na kutoa sifa lukuki bila kutambua kuwa ni mbinu za kisiasa. Ni vema ifike mahali tuangalie mienendo na hadaa za vyama hivi
Mkuu Sokomoko, nimekupata vizuri hoja zako za ujenzi, Mbunge wa Chadema, Lema alizindua ile CD yake ya maandamano na mauaji ya Arusha, akawa anapita kila kona anasema atampelekea Luis Moreno Ocampo, THE HAGUE (ICC) huyo mpango sijui umefikia wapi!
 
Sokomoko & ritz tayari ni muslim radicals!naona al-Qaeda wameshapenyeza mizizi yao Tanzania!nchi hii ina matatizo mengi tu sasa hivi ya kuwa addressed lakini nyinyi mnakomaa na wakatoliki wakatoliki ...mara nyerere(mkatoliki ) alikuwa mdini, mara padre slaa mdini...mara chadema wadini! Hivi nyinyi nani aliyewafumba macho mpaka msione matatizo ya nchi hii ila dini za wakristu tu? Ukatoliki mlikuta na mtauacha hapa duniani ukiwa imara zaidi! Watu kama nyinyi mnatakiwa mpelekwe huko Guantanamo mkakae na ma terrorist wenzenu kama yule Ahmed Khalfan Ghailan !fu***ng dumbas*es!!
Mkuu hayo maneno mawili ya mwisho ndio yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Ni kweli Tanzania tuna matatizo mengi hata hili la kutumia watu ikibidi wafe ili tupate madaraka ni tatizo pia. Na ni kweli tuna matatizo ya maji na umeme lakini maadili ya kikristo yanayosisitizwa na cdu hayawezi kuyamaliza
 
Mkuu mafanikio yepi? Ya kusababisha watu watatu wapoteze maisha na kupewa unaibu umeya ndio unaita mafanikio? Au kuungana na CDU? Kuwa wazi wewe ni smart bwana usiwe kama damb! Yes mimi ni mwislam Alhamdullilah nafuata yale aliyoyaleta Musa na Yesu akayasisitiza kuwa hakuja kuyabadili ila kuyatekeleza ndio maana mimi na wenzangu hatuna kubariki ndoa wala kutumia karatasi tunapoenda haja kubwa.
mkuu kweli huoni mafanikio ya cdm au unatubeza. Af hivi waislam wanaipenda ccm kwa sababu ya Jk au hata wakichagua kina Samwel,Bernard,Edwad nk mtaendelea kuwasifu, tuanze na wewe
 
Mkuu Sokomoko, nimekupata vizuri hoja zako za ujenzi, Mbunge wa Chadema, Lema alizindua ile CD yake ya maandamano na mauaji ya Arusha, akawa anapita kila kona anasema atampelekea Luis Moreno Ocampo, THE HAGUE (ICC) huyo mpango sijui umefikia wapi!
Wameshamalizana na magamba si unajua jamaa walijua wanachokitaka? Wamepewa kimyaaa humu jamvini ilikuwa kejeli kwa cuf kufikia muafaka lakini wa cdm na ccm ulipongezwa sana na wakasahau kuwa walihadaiwa kuwa wanapinga uchaguzi urudiwe. Turudi kwenye point cdu kwa kiasi kikubwa wamefanikisha maridhiano ya cdm na ccm na ndio walipo sign nao MoU kushirikiana tungoje mengineyo. Ila wakazi wa Arusha wanajuta kutolewa kafara kwa mambo amabyo yanazungumzika sijui kina Regia wanasemaje? Maana si tunao humu ila hii hoja wanaikwepa au sijui wanajibu kwa id mbadala?
 
Kuna waislam ambao nawakubali kama Isa Shvji,Idrisa Rajabu,Bashiru Ally,SAED KUBENEA, and their like ambao wamefunguka macho na kujua kinachoendela ila kina Sokomoko sijui watamka lini.
 
mkuu kweli huoni mafanikio ya cdm au unatubeza. Af hivi waislam wanaipenda ccm kwa sababu ya Jk au hata wakichagua kina Samwel,Bernard,Edwad nk mtaendelea kuwasifu, tuanze na wewe
Mkuu unajua unatoka nje ya mada na ni kosa kwa kanuni za jf? Sitaki nitoke nje ya mada ila kikweli ccm haishabikiwi na waislam kwani serikali yake ndio iliyouwa waislam pale mwembechai mwaka 1998 wakishirikiana na Paroko au umesahau? Kuhusu maendeleo ya CDM bado mkuu tungali kwenye giza totoro la mgao wa umeme ila wiki inaanza kesho pengine wabunge wetu watakuja na hoja ya kupunguza viinua mgongo vya ubunge na pesa itakayobaki ikanunue mashine za kufulia umeme maana jamaa wanapewa pesa ndefu kweli sio hizi elfu sabini zaposho za vikao. Najua cdm wanauchungu wa kweli ila hili hawajaliona. Samahani wewe unacheo gani cdm? Unaweza kutujuza kilichomo kwenye MoU yenu na CDU?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom