Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikatoliki

Status
Not open for further replies.
Kuna waislam ambao nawakubali kama Isa Shvji,Idrisa Rajabu,Bashiru Ally,SAED KUBENEA, and their like ambao wamefunguka macho na kujua kinachoendela ila kina Sokomoko sijui watamka lini.
Well kuna wakristo ninao wakubali kama rev mtikila, philp mangula, Ayub Ryoba, Reginald Mengi, Dr azaveli Lwaitama, Prof Sith Chechege RIP, Fidelis Mutabazi, Felichismo Fredrick, ila japo wapo kimya kuhusu hili la CDU ina imani na wao litakuwa linawasungua mbongo zao.
 
Sokomoko & ritz tayari ni muslim radicals!naona al-Qaeda wameshapenyeza mizizi yao Tanzania!nchi hii ina matatizo mengi tu sasa hivi ya kuwa addressed lakini nyinyi mnakomaa na wakatoliki wakatoliki ...mara nyerere(mkatoliki ) alikuwa mdini, mara padre slaa mdini...mara chadema wadini! Hivi nyinyi nani aliyewafumba macho mpaka msione matatizo ya nchi hii ila dini za wakristu tu? Ukatoliki mlikuta na mtauacha hapa duniani ukiwa imara zaidi! Watu kama nyinyi mnatakiwa mpelekwe huko Guantanamo mkakae na ma terrorist wenzenu kama yule Ahmed Khalfan Ghailan !fu***ng dumbas*es!!
Mkuu, U.S came to Negotiate with the Taliban (Al-Qaed) Ahahaha!! Back to the topic, umeishiwa hoja unatoa matusi inabidi umwambie a loser Dr Slaa, na wewe upelekwe Ujerumani ukafundishwe maadili ya Kikiristo nadhani utaacha matusi
 
Ritz anajulikana ni kada njaa ka ccm.
Mkuu kuhusu Saed Kubenea believe me kuna watu wanamtumia na ndio maana hakuna makala yake ambayo hukuti amesema mazuri ya Lowasa na nimesikia hivi sasa anajuta kutumika na chama fulani wakati wa uchaguzi kwa kunyimwa kuchapisha hotuba ya bajeti na kupelekwa kwenye vyombo vya wale wanaohubiriwa kuwa ni mafisadi. Na huyo hawezi kuhoji mahusiano ya cdu na cdm anajua nguvu ya cdm na ukristo na vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na wakristo kwahiyo hayupo tayari kuingia kwenye malumbano na vyombo vya habari ikiwa yeye ni mfanyabiashara pia ana wanunuzi waislam na wakristo!anaogopa kufitinishwa na wateja wake.
 
Mkuu hivi ni wabunge gani wanao pinga hizo posho au ni hawahawa wakatoliki? Nijibu ccm wakiweka mkristu mtashangilia kama Jk ina maana husikiagi kauli za viongozi wa Bakwata juu ya cdm.
 
Mkuu, U.S came to Negotiate with the Taliban (Al-Qaed) Ahahaha!! Back to the topic, umeishiwa hoja unatoa matusi inabidi umwambie a loser Dr Slaa, na wewe upelekwe Ujerumani ukafundishwe maadili ya Kikiristo nadhani utaacha matusi
CDU wanajua maadili ya kikristo si matusi nadhani wanajua kuna jukumu kubwa mbele yao la kuwafunda viongozi vijana ili waje wawaelimishe wafuasi wao ustaarabu na maadili ya kikristo ili kuwabadilisha tabia zao za kutukana. Sipati picha kama hoja hii ingekuwa inamnanga JK aui CCM nadhani pasingetosha ingekuwa ni pipozzzzz
 
Mkuu hayo maneno mawili ya mwisho ndio yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Ni kweli Tanzania tuna matatizo mengi hata hili la kutumia watu ikibidi wafe ili tupate madaraka ni tatizo pia. Na ni kweli tuna matatizo ya maji na umeme lakini maadili ya kikristo yanayosisitizwa na cdu hayawezi kuyamaliza
kila kitu unakigeuza kuwa cha udini! hadi kuchamba kwa karatasi au kwa kutawaza kwako ni udini...!tukomae na serikali ya ccm iliyopo madarakani kutatatua matatizo yetu siyo ukistru! nani kawatuma nyinyi watu..? Kikwete??
 
Mkuu hivi ni wabunge gani wanao pinga hizo posho au ni hawahawa wakatoliki? Nijibu ccm wakiweka mkristu mtashangilia kama Jk ina maana husikiagi kauli za viongozi wa Bakwata juu ya cdm.
Nampongeza JK kwa kumteua Mwana mama mkristu Nato Mwamba kuwa naibu gavana amemteua mtu mwenye uelewa mkubwa katika maswala ya uchumi na aliekulia kwenye fani hiyo. Mnakumbuka CDM members mlivyo mjadili mwislam alie teuliwa kushika wadhifakwenye wizara ya maliasili na utalii mlimchambua kwa hoja za udini na si uwezo wake nadhani alikuwa anaitwa Ibrahim na ni muasia. Nadhani na nyie wanachama wa cdm mfikiriwe kwenye hizo kozi za maadili ili myajue maadili ya kikristo vizuri.
 
kila kitu unakigeuza kuwa cha udini! hadi kuchamba kwa karatasi au kwa kutawaza kwako ni udini...!tukomae na serikali ya ccm iliyopo madarakani kutatatua matatizo yetu siyo ukistru! nani kawatuma nyinyi watu..? Kikwete??
Mkuu tukomae na ccm as well cdm kwa kuwahadaa wakazi wa Arusha na kujidai wanatetea wananchi kwa poisho kufutwa ilhali miaka mitano ikiisha wanakusanya vitita vya maana hawa wanatumia ujuha wetu kututawala akili zetu tuwe vipifu na ndio maana cdu wanataka kuwapa somo kuwa ukristu hautaki hadaa si wameambiwa kuwa moja ya amri kumi za Mungu ni usiue na wakasaini makubaliano kule Arusha? Naomba tusitike nje ya mada hapa mada ni cdm na cdu tunaelewana?
 
Kitu kingine cha muhimu Watanzania wanatakiwa kujua zaidi kuhusu CDU, wanawafata wahamiaji wa Kituruki wanawatafuta wale wenye watoto wadogo wanawapa pesa wanawabadili dini wanawaingiza kwenye chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU
 
Kikwete, ukitaka kula nguruwe angalau chagua aliyenona ! Hii ya kuwatumia mara Sokomoko, FaizaFoxy, Kupeng'e, Ritz n.k ambao hata hawajui Uprotestant na Ukatoliki unaanzia na kuishia wapi, ni kuonesha tu upunguani usiosameheka. Cant you ever do anything right ?
 
Ndio maana cdu ikaingia urafiki na cdm ili ilete mabadiliko kwenye maadili Kikwete anaingia wapi? Unavyotumika wewe unadhani kila mtu anatumika? Pole mkuu ila ipo siku utafungua macho utaona kuwa kushabikia mambo bila kuyachambua ni ujuha wa hali ya juu pipozzzzz malizia basi mkuu acha hasira jibu kwa hoja.
 
Mkuu, utaki kuamini kama CDU ni chama cha Kikirsto cha Ujerumani, umeamua kufunika akili zako na blankent jeusi utaki mtu akufunue
 
Kukulaumu wewe itakuwa ni sawa kumlaumu mbwa kwa nini hakimbii akimwona chatu. Mbwa akikimbia, chatu ambaye humeza bila kutafuna, anaweza akalala njaa. Tafakari !

Mkuu, utaki kuamini kama CDU ni chama cha Kikirsto cha Ujerumani, umeamua kufunika akili zako na blankent jeusi utaki mtu akufunue
Kuna mnyama anaitwa nguchiro na kitoweo chake ni kuku. Ujanja wake ni kubong'oa na kuku kwa ujinga wake humsogelea ili adonoe na linalofuatia ni historia. Tafakari !
 
Kukulaumu wewe itakuwa ni sawa kumlaumu mbwa kwa nini hakimbii akimwona chatu. Mbwa akikimbia, chatu ambaye humeza bila kutafuna, anaweza akalala njaa. Tafakari !Kuna mnyama anaitwa nguchiro na kitoweo chake ni kuku. Ujanja wake ni kubong'oa na kuku kwa ujinga wake humsogelea ili adonoe na linalofuatia ni historia. Tafakari !
Rudi nchini uje ukijenge chama nadhani na wewe utafaidika na nafasi za masomo ya maadili.
 
Mkuu, pambana ili upate nafasi uende Ujerumani ukajifunze maadili, nadhani ukifika huko utapata mafunzo mazuri kutoka chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU, Tafakari Nguchiro!
 
Hata chama cha Gaddaf kikiwa tayari tupeleke vjana kwenda kujifunza kwake,TUTAKWENDA,Hata hivyo katiba ya Tz,hairuhusu vyama vya kidini,mwambie boc wako,Jk akivute kama mnaamini ni cha kidini
Kijallo ungetpa mawazo yako mkuu kuliko kutoka nje ya mada
 
Rudi nchini uje ukijenge chama nadhani na wewe utafaidika na nafasi za masomo ya maadili.
Mkuu Sokomoko.Hamas ni chama cha Kislam cha Palestina, vipi kitokee chama cha siasa Tanzania, kipeleke vijana wake wakapate mafunzo na Hamas Watanzania tatawaelewaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom