Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

nch kwa ss ni kama haina mwenyewe, mawaziri wanalumbana, mihimili ya dola yaani ndani ya bunge , nje ya bunge wanalumbana na wananchi nao wamechishwa wanalumbana, bei za mafuta na vyakula watu wanalumbana hakuna anyetoa jibu ss nn kimebaki
 
njozi kwamba chadema ikishika dola nchi hii itakuwa peponi ni fikra mgando. Maendeleo ni zaidi ya chama cha siasa na itikadi zake

una akili kuliko slaa ndg yangu,hata al baladay kule misri alijua atatawala misri kwa maandamano ila anajua kilichomkuta.
 
Nchi yetu inatawalika vizuri tu labda ungesema HAIONGOZEKI. Kuna tofauti ya kimsingi kati ya KUTAWALA na KUONGOZA.
 
nch kwa ss ni kama haina mwenyewe, mawaziri wanalumbana, mihimili ya dola yaani ndani ya bunge , nje ya bunge wanalumbana na wananchi nao wamechishwa wanalumbana, bei za mafuta na vyakula watu wanalumbana hakuna anyetoa jibu ss nn kimebaki

Huo si ndiyo UHURU WA KUTOA MAWAZO ambao ni sehemu muhimu ya DEMOKRASIA? Kimsingi mimi naona huku kulumbana unakosema kumetufunulia mambo mengi ambayo tusingeyajua iwapo wasingekuwa wanalumbana. Inabidi walumbane zaidi kwani bado kuna mambo mengi bado hatujayafahamu vizuri.
 
Nchi hawezi ikaendeshwa kimission town, tukisha anza kumkopa baba nanihii hela ya kulipa mishahara, mama na nihihi hela ya kulipa watoto hela ya shule, mjomba na nihihi hela ya kununua magari hapo ujue nchi imewekwa mifukoni???
 
Hivi inakuwaje wau wachache wanakuwa na hela kushinda serikali??? mimi sielewi jamani
 
Safi sana madaktari mmegoma endeleeni hivyohivyo mana serikali hi legelege sana ya CCM isiyo jari watu!
 
Poleni sana sisi twala bata tu!

sawa. Kumbuka hata gadafi alikuwa hivyo,... Iko siku utanikumbuka na hii kauli yangu we na uzao wenu wote mnaukula keki ya nchi wenyewe kama vile mmerithishwa na babu yenu
 
dah yanazidi kujidhihirisha angalia sasa hawana hata hela za kufanyia service ndege ya mkulu..............kitu kinaongezwa parking fee kila siku
 
Safi sana madaktari mmegoma endeleeni hivyohivyo mana serikali hi legelege sana ya CCM isiyo jari watu!

Unafurahia upumbavu? Halafu mnamlaumu kikwete wakati nyie wenyewe ndio mna mawazo kama haya.
 
Msikae kumlaumu JK kwa kila kitu, sio kila mtanzania ametajirikia CCM kuna wengine wamejituma na wametumia akili wakajiendeleza.

Kama matajiri wote ni wizi basi na hao matajiri walio upinzani je?
 
Msikae kumlaumu JK kwa kila kitu, sio kila mtanzania ametajirikia CCM kuna wengine wamejituma na wametumia akili wakajiendeleza.

Kama matajiri wote ni wizi basi na hao matajiri walio upinzani je?
Hapana, tunazungumzia wale wanaosemekana kuwa "hawagusiki", "nchi itayumba" nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom