assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
akamatwe hawa usalama wa taifa wamelala
Wataingia kwenye ikulu ya wazazi wako.Chadema haiwezi kuingia ikulu ya tanzania labda ya kilimanjaro
ivi watz tumelogwa badala kujadili ni kwa jinsi gani kumwondoa huyu mkoloni mweusi madarakani tunalaumu chama makini
Badala ya kujadili mustakabali wa nchi yetu imewekwa rehani wachina wanachukua kila kitu mnaandika tuu
wewe hata mwanao akiugua ugonjwa kama moyo huna pakumpeleka ni kusubiria ajifie tuu ila wa kwao atapelekwa India
Tuamke jamani bla bla zimepitwa na wakati
Ccm imesha fika menopause, haina jipya
ivi watz tumelogwa badala kujadili ni kwa jinsi gani kumwondoa huyu mkoloni mweusi madarakani tunalaumu chama makini
Badala ya kujadili mustakabali wa nchi yetu imewekwa rehani wachina wanachukua kila kitu mnaandika tuu
wewe hata mwanao akiugua ugonjwa kama moyo huna pakumpeleka ni kusubiria ajifie tuu ila wa kwao atapelekwa India
Tuamke jamani bla bla zimepitwa na wakati
Ni mwendawazimu tu ndie anaweza akaiamini CCM. CCM ndio kansa inayotafuna nchi. Chadema wanawahamasisha wananchi wasichangie maendeleo kwa sababu hata wakichangia zinaishia mifukoni mwa manyang'au ya CCM. Msiwafanye watanzania mazuzu Magamba wakubwa nyie. Yeyote anayeishabikia CCM ana LAANA yeye na KIZAZI chake kwa kuisaliti TANZANIA.