Slaa awalipua Rostam, Riziwan


Du kweli bwana kumbe hata akina Lowassa,RA,Chenge watakuwa wameonewa tu, na hakuna wizi ndani ya CCM! Kumekucha kweli ila tutafika tu
 
mijitu mingine bwana HOVYO,hivi hadi leo bado kuna watu hawajaamini kuwa mabadiliko yote haya yakiwemo kujivua gamba ni harakati za Dr Slaa tangu akiwa bungeni hadi sasa ,,kama TAKUKURU ni wasikivu wafwatilie watupe ukweli, DR KISHASEMA
 

Hata kama mshahara wake ukitajwa still bado kuna haja ya kujiuliza within a short period of time? And esp During the election time alikuwa ndio mkuu wa fungu la baba yeye na mdogo wake kwani mwakumbuka dhahili campeni za mwaka jana za ubunge na urais zijawa na tatizo la Familiarize sasa hao vijana kwanini wapikwapue pesa hiyo kutembea mikoa yote na kuwaweka makada wa CCM si mchezo na sio wote kawamaliza lazima change ilibaki.

Kwa kawaida tuuu taya Ridhwani shemeji yangu ajitoe tu kwenye UVCCM kimaadili ukisha kumbwa na kashifa kama hiyo period ur dead in politics sasa nae mwisho wake ndio huo , Mwingine ni Mtoto wa EL huko Arusha kwa jina linalo anzia na E nayeye je mwisha chunguza pesa zake je ni mali ya kurithi au ni mali ya baba?

Wajua huwa najiuliza hawa vijana wadogo ndani ya UVCCM wanakuwa na kiburi sana na jeuri na pesa wamezitoa wapi ni vijna wa juzi tuu hapa vyuo wamemaliza hajazidi 3yrs jamani khaaa na ndio maana UVCCM inayumba sana na inamatatizo makubwa hata kuliko ya UWT,CCM

 
Slaa ni kiongozi ambaye tunamhitaji sana.. Ana uchungu na nchi sio wale wavua magamba wanao tuhadaa kwa kuvua magamba lakini sumu bado ni ileile.
 
Usijifanye juha eti hujui maana ya tajiri.
 
Huyu majuzi tu alikuwa hana kitu kabisa alipokuwa anamaliza shule yake,sasa ni fisadi kijana.Abanwe.
 



Sasa KIPYA KIPI alichofichua huyo mzinifu? Mwenyewe ameshapata kusema kuwa billioni 185 ni kipato chake cha miezi minne, i.e. kipato chake cha mwaka ni billioni 185 x 3 = billioni 555.

Halafu hayo madai ya neno UFISADI kalianzisha yeye ndiyo kichekesho cha mwaka!!!!! Kwiiiiiiiii kwi kwi!!!!!!

Hivi kelele na maandamano ya katiba mpya, hali ngumu ya maisha, noti mpya yameishia wapi? Yaani yote hayo sasa yamewekwa pembeni na sasa ni kuwa wao ndiyo walioanzisha neno fisadi?
 
Watu mnakazania eti aende mahakamani,mahakama zipi hizo mnazoziongelea hizi hizi zinazopendelea watawala na wawekezaji mchana kweupe?! Kama tunadhani ni 'haki' kwa mtoto wa Rais ambaye hatujui biashara anazofanya hapa duniani kuwa bilionea halafu asiulizwe basi demokrasia tuyaipigia kelele tunayo basi haipo kabisa..

Sidhani kama ni 'husda' kuwahoji watu wanaokula na kuvaa kwa kodi zetu kisa ni watoto wa Rais ni wajibu wao na wetu kuhakikisha kodi zetu hazibadhirifiwi kwa namna yoyote ile na wakibainiki wataanikwa mpaka hatua za uwazi na sahihi zichukuliwe juu ya wote wanaohusika..
 
mijitu mingine bwana HOVYO,hivi hadi leo bado kuna watu hawajaamini kuwa mabadiliko yote haya yakiwemo kujivua gamba ni harakati za Dr Slaa tangu akiwa bungeni hadi sasa ,,kama TAKUKURU ni wasikivu wafwatilie watupe ukweli, DR KISHASEMA
unajua hata mie naishangaa mijitu ya humu au labda kila siku inakuja migeni swala la rizwani lilishajadiliwa sana humu ndani kwamba anamiliki maghorofa morogoro ss lipi jipya alilosema dr unajua kuna watu wanataka watufanye watz tuamini tunastahili kuwa maskini hivi tulivyo na wengine wawe matajiri na kifupi yoyete anaetetea ufisadi huu ni wale wala makombo
 
Kosa liko wapi Ridhwan kuwa tajiri ? wacheni husda.(Naye pia anastahili kumiliki kama wanavyomiliki wengine mali roho mbaya haijengi sio kila anaepata kaiba) Juhadharini na dhana kwani hakika ya dhana ni kusema uongo.

Pepombili,

Hivi majuzi CCM kimewataka mafisadi waachie ngazi ama sivyo kinawamwaga. Chiligati anasema hawana haja ya ushahidi, public opinion inatosha, yeyote anayetajwa tajwa kwenye kashfa kadhaa apime na aachie ngazi.
Kwenye chama mlisema hakuna mafisadi ghafla mmewataja kwa majina

Sasa hii ya kutaka Dr Slaa alete ushahidi ambao nyie wenyewe hamhitaji inatoka wapi.....Jipangeni upya maana badala ya kuwatetea watu wenu ndio mnazidi kuharibu.
 

Dr let me join hands with you in a very different way; kwamba as from today I command the greater light to smite these fisadis in the day time and the lesser light in the night. Let west and the east whirl wind come against them and let the water they drink and food they eat turn into the blood (innocent blood which was shed by all the victims of their evil fellowships) which to you is the cause of sanctification because of what you chosen to do and to them the source of condemnation. Let them by this cause never rest in day or night times until they are destroyed by their own doings. If at all they can live without being serviced by the sun which is the source of all energy in living and non living and if they would live in the planet which is not serviced by the moon that causes the tides to rise and fall and the weather to change according to its movement they can defeat you, otherwise let them count their days! You are under safe hands just do whats right and nothing shall by any means hurt you; I decree and declare in the most high and powerfull name of Jesus Christ my Lord ans saviour and under the diktat of the mighty power of hollyghost. If you believe say Amen and to all people who are in this good fight let you all say Amen.
 
wasukuma wakimkana kwamba sio msukuma ndipo nitaelewa lakini km sivyo` basi ni haki yake kula nchi kwani katiba ya ccm iko wazi kuwa mwenye uwezo wa kula nyama nyingi ni yule mwenye kisu kikali.................mwacheni rostamu wetu sisi ccm ametusaidia sana bila yeye kikwete asingeingia madarakani 2005 na km mnavyojua kikwete ametufanyia mengi sana...............mnafikiri tungeweza kupata rais km yeye hapa tz?......kwa hiyo rostamu kasaidia sana nchi hii ni haki yake naye kufaidi matunda ya jasho lake na pesa alizowekeza ccm na serikalini
 
Hivi kama ana ushahidi si awapeleke mahakamani jamani, kwa niaba ya wananchi. Achukue hatua zaidi ya kutaja tu.

Mahakama gani unaongelea dadangu?
Mahakama ambayo jaji mkuu ni mteuliwa wa rais kisha wenda kumshtaki mtoto wa rais tuache.
Mahakama ipi katika nchi ambako DPP mteuliwa wa mtukufu rais ana mamlaka ya nani ashitakiwe na nani asishtakiwe.

Tuache masihala
 
unaongea pumba tu kwani kipato cha mtu ni mshahara peke yake wacha uzembe wewe tunataka ushahidi wenu hapo sio husda mlizo nazo roho mbaya ndio zinawasumbua na zitawauma sana aliepata kapata tu
 
Huu mwaka ccm watauona mbaya kwao maana Dr amewashika pabaya
 
endelea kudai katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…